Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

hivi wakuu hii astral projection unaweza kufanya mambo mazuri na mabaya yote yakakubali?..yaani unaweza ukatoka ukiwa na dhumuni baya mf.kuangalia vitu usivyoruhusiwa kwenye maisha ya kawaida, ukafanikiwa ukarudi?

kabla ya kufanya AP achana na mawazo hasi/negative thoughts hizo zitKufanya uone vitu ambavyo vitakuogopesha na kukufanya urud kwenye physical body fasta, ila swala la kupotelea hukohuko mi siliamin na ww pia naomba huondoe hiyo iman pia.
 
Wengine wanataka kujiua kwa njia hii nini? 😀
 
Asante sana
Ntajitahidi kuanzia jumatatu nichukue zoezi ili mpaka kufika jumatano niwe nimeweza japo kutoka nje ya chumba changu. Ntaondoa uoga wote. Kifupi ntapuuza mawazo yoyote mabaya yatakayokuwa yanakuja badala yake ntafocus kwenye nnakotaka kwenda

kwa mara ya kwanza ukifanikisha kutoka usiende mbali sana unaweza kuzunguka chumba had chumba, au ukaamua kutoka nje na kuzunguka nyumba hii ni ili kukufanya kukujengea confidence na kukuondolea uoga ili kuona unachofanya ni kitu normal tu, zen unaweza kuzunguka mtaa>>>wilaya»»»mkoa»»»nchi zen baadae ukawa unatimba hata ugaibun. kumbuka utakapo kuwa kwenye AP Sio km ndo utakuwa peke yako, ila utakutana na wengne km wewe nao wanakula misele tu.
 
Wengine wanataka kujiua kwa njia hii nini? 😀

teh teh teh tehhhh.... ila ndo haiwezekani sasa. mi ishatokea nimekaa sehem kwa mda mrefu lkn km physical body ikawa inanivuta nirud ila nikawa nalazimisha niendelee kula misele tu lkn physical body huwa kama ina nguvu sana na lazima utarud tu hata km ulikuwa hutak,
 
Nikizoea ntakuwa naenda sehemu za ufukwe. Na wakati wa winter ntakuwa naenda sehemu ambazo kwao ni summer
 
safi sana...keep hard. siku ukifanikisha kutoka ni PM zen nitakuelekeza sehem uende ni amazing fulan hv unaweza ona upo bustan ya Edden mkuu.
 
teh teh teh tehhhh.... ila ndo haiwezekani sasa. mi ishatokea nimekaa sehem kwa mda mrefu lkn km physical body ikawa inanivuta nirud ila nikawa nalazimisha niendelee kula misele tu lkn physical body huwa kama ina nguvu sana na lazima utarud tu hata km ulikuwa hutak,

Duh! Na muda mzuri wa kufanya ni saa ngapi na lini?
 
hakuna mda maalum wa kufanya ( unaweza kufanya mda wowote kwa maana huu si ushirikina kuwa una masharti) ...ila kwa upande wangu wakat naanza nilikuwa nafanya usiku kwa maana kunakua kumetulia na hakuna kelele za kunikatisha kwenye process ila sasa ninafanya hadi mchana, na ninaweza nikalala mchana sebulen huku Tv au Redio ikiwa on, na nikatoka out of body... ila km unaanza tafuta sehem ambayo kelele haiwez kukusumbua na haijalishi ni mchana au usiku.
 
Kuna cha zaidi tofauti na kulala chali na kusikilizia pumzi?
 
safi sana...keep hard. siku ukifanikisha kutoka ni PM zen nitakuelekeza sehem uende ni amazing fulan hv unaweza ona upo bustan ya Edden mkuu.

Sawa kabisa, ntakuPM ASAP nijue viwanja vya kwenda
 
Hapa nadhani nahitaji msaada kidogo. Mimi huwa inanitokea ndotoni naota labda nakutana na kitu flani cha kutisha au naanguka toka mlima mrefu huwa naweza kuikatisha ndoto wakati nakaribia kwenye hatari hiyo lakini huwa napata maumivu makali sana ya Kichwa baada ya kuikatisha ndoto. Je hii nayo ni nini labda. Wataalam nisaidieni
 
Nimemfatilia sana =Rakim katika njia alizofafanua kufanya AP. Hizi njia zipo nyingi sana na inategemea mtu na mtu jinsi ya kuimaster mfano kuna wengne wanaweza kufanya siku moja au mbili na wakapata matokeo mazur, wengine hata wiki au mwezi na hata zaid ya hapo ...unafikir ni kwann inakua hvvo wakat wote mmetumia njia moja???
ishu ni kuwa watu tupo differ,hivo ukiona km njia ya rakim upande wako ni ngumu unaweza ingia google na utapata njia nynge ambazo zinaweza kuwa simple kwako.
mfano mimi huwa napenda kulala kwenye koch au kitandan na nikishakuwa pararize huwa najibiringisha ili nidondoke chin na hapo ndo nakua nshatoka.
Au mda mwingne kama nikishakua pararize huwa na focus kama kuna kamba inayoning·inia juu yangu hivo huwa naishika na kuanza kujivuta kuja juu afu najikuta nishatoka tayar.
ila hizi njia pia nazo zinaweza zisikusaidie au ikachukua mda mrefu kuimaster ndo maana kwa msaada zaid ingia google uutapata njia nyingi tu.
Sio lazma mtu ulale(japo hii ndo huwa inaonekana njia rahs sana kwa weng) ila unaweza kukaa mfumo wa yoga. maana hapa ishu kubwa ni kudanganya brain yako ili ione kuwa umelala.
 
navyojua mm kipindi ambacho hii miili unaitenganisha huwa kunatokea hali ya kichwa kuwa kizito au kuhisi kama ubongo hivi unavuta kurud nyuma. kwa mawazo yangu ukiona hio hali usiogope hapo ndo spirt ako inatengana zen finally ukiona hio hali imeisha jiaminishe kuwa mwili wako ushatengana na hapo unaweza kuona matokeo so hyo hari wala usiogope... ila kwa maalezo zaid contact na mwenye huu uzi Rakim nafikir atakujuza vzur tuuuu....
 
Nimemfatilia sana =Rakim katika njia alizofafanua kufanya AP. Hizi njia zipo nyingi sana na inategemea mtu na mtu jinsi ya kuimaster mfano kuna wengne wanaweza kufanya siku moja au mbili na wakapata matokeo mazur, wengine hata wiki au mwezi na hata zaid ya hapo ...unafikir ni kwann inakua hvvo wakat wote mmetumia njia moja???
ishu ni kuwa watu tupo differ,hivo ukiona km njia ya rakim upande wako ni ngumu unaweza ingia google na utapata njia nynge ambazo zinaweza kuwa simple kwako.
mfano mimi huwa napenda kulala kwenye koch au kitandan na nikishakuwa pararize huwa najibiringisha ili nidondoke chin na hapo ndo nakua nshatoka.
Au mda mwingne kama nikishakua pararize huwa na focus kama kuna kamba inayoning·inia juu yangu hivo huwa naishika na kuanza kujivuta kuja juu afu najikuta nishatoka tayar.
ila hizi njia pia nazo zinaweza zisikusaidie au ikachukua mda mrefu kuimaster ndo maana kwa msaada zaid ingia google uutapata njia nyingi tu.
Sio lazma mtu ulale(japo hii ndo huwa inaonekana njia rahs sana kwa weng) ila unaweza kukaa mfumo wa yoga. maana hapa ishu kubwa ni kudanganya brain yako ili ione kuwa umelala.

Ntagoogle njia nyingine pia.
Asante sana mkuu kwa ushirikiano
 
Kweli dunia ina maarifa ya kila namna!, Naomba kuuliza ikitokea ndo umeshatoka, upo kwenye misele kukawa na mtu anayekuhitaji aonane na wewe au anashida fulani, au umepigiwa simu huwa inakuaje? Je unaweza kufanya mawasiliano na wale wanaokuhitaji naombeni kidogo ufafanuzi hapa!
 
Back
Top Bottom