Jinsi ya kutongoza mwanamke msiyejuana (Barabarani, kwenye daladala au popote)

Binafsi mimi mwanamke nilienae tulikutana kiajabu ajabu tu

nilimtongoza mwaka jana mwezi wa 7, tena nikaenda direct dakika hio hio kwamba nataka kumuoa... AKANIKATAA VIBAYA SANAπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

na mimi nikasema sawa hamna shida, ila wewe ndio uko moyoni.. sikutaka kuendelea kumwambia chochote zaidi ya salam na mazungumzo mengine..

nakumbuka niliondoka mkoani kwao nikarudi Mwanza baada ya siku 4 na sikuwahi kumtafuta yule mwanamke..

cha ajabu amekuja kunitafuta mwaka huu mwezi wa June na kudai ananipenda sana na anataka NdoaπŸ₯΅πŸ₯΅πŸ₯΅

nilichomwambia ni kwamba sina mahari ya kuolea labda aje tu tuanze maisha mdogo.mdogo...

Huwez amini ndugu msomaji, huyo.mwanamke alitoroka kwao na mpaka sasa tunaishi pamoja kama mke na mume toka August 1

na wazazi hawajapewa mahari

alivyorudi ulitakiwa umle kimasihara umbwage, haukujiuliza kwanini kabadili mawazo?
 
Wanahangaika wenzangu, mie sina hata kimoja hapo hahaa
Kwahyo sasa wewe unajitofautishaje na sisiπŸ˜‚
Kwa kweli kwa mara ya kwanza kabisa huwa nakuaga mzito lakini tukionana mara mbili tatu naombaga tu mengine yanaanzia hapo.
Dah, Kwahyo ukiona pisi kali kwenye daladala ndoivyo unafanyaje?
 
Dah, wewe noma...Kwahyo umekutana nae tu na kumtangazia ndoa hapohapo?πŸ˜‚πŸ˜‚

Sema kudos, nmeona maongezi yenu yako smooth.
 
alivyorudi ulitakiwa umle kimasihara umbwage, haukujiuliza kwanini kabadili mawazo?
sinaa sababu za kumfanyia hayo:

Kwanza kabisa huyu mwanamke kakosana na wazazi wake kwa ajili yangu, mpaka sasa hawaelewani..

cha pili, katoroka kwao kwa gharama zake kafika kwangu mpaka sasa katulia..

tatu, mpaka wa leo namuona ni wife material mwezi wa 3 sasa sioni mbambamba zozote kutoka kwake. Ni mtulivu sana.

Nimeamua kutulia nae tujenge maisha
 
Dah, wewe noma...Kwahyo umekutana nae tu na kumtangazia ndoa hapohapo?πŸ˜‚πŸ˜‚

Sema kudos, nmeona maongezi yenu yako smooth.
Yako smooth si kakwambia kaja August kwahiyo wana miezi miwili... penzi jipya mwambie December akuletee conversation yao...if he’s lucky kama atakuwa bado yupo huyo manzi
 
Be careful though, kuna possibility hajakupenda wewe ila amependa ndoa.
 
Kwahyo sasa wewe unajitofautishaje na sisiπŸ˜‚

Dah, Kwahyo ukiona pisi kali kwenye daladala ndoivyo unafanyaje?
Ukweli muda mfupi namna hiyo sifanyi kitu aende tu....kwenye basi Kati ya mkoa n mkoa ndio naweza.
Na hata kwenye kuomba namba sipendi mtu mwingine aone ....Wala siwezi kuongea wakati Kuna mtu wa tatu anasikia kile naongea...Lakini success rate yangu huwa ni kubwa sana...Nina usiri Fulani sijui ni wa nini hata kwenye Maisha ya kawaida.
 
Yako smooth si kakwambia kaja August kwahiyo wana miezi miwili... penzi jipya mwambie December akuletee conversation yao...if he’s lucky kama atakuwa bado yupo huyo manzi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜..au ndo wapo hii stage nini?
 
Attachments

  • Screenshot_20221011_214936_com.whatsapp.jpg
    35.1 KB · Views: 29
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…