DOKEZO Jinsi ziwa Tanganyika lilivyo na maji mengi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ni matumizi yote ya maji ya mtu kwa siku, kuoga, kufua, kuflash nk. Nafikiri hadi umwagiliaji.
Km ni pamoja na umwagiliaji hapo sawa;Lkn je watu wote wanafanya umwagiliaji?, Vipi watoto,nao wanatumia hizo lita mia moja kwa Siku??.
 
Tanzania hatuna upungufu wa maji ni tatizo la watu wachache waliopewa mamlaka ya kuhamua mambo kukosa mipango madhubutu tu. Vile vile ziwa Tanganyika lina chumvi hivyo desalination haiwezi kukwepeka kitu ambacho hawataki kukisikia hili tuendelee kuteseka.
 
yale maji yana chumvi kwa mbali sana ,tena ka mtu mwengine unaweza sema haya chumvi kabisa. kama umeishi Dodoma unasema maji ya ziwa Tanganyika hayana chumvi kabisa.
 
Ni matumizi yote ya maji ya mtu kwa siku, kuoga, kufua, kuflash nk. Nafikiri hadi umwagiliaji.
Hizo lita 100 ni nyingi sana labda kama unaongelea watu wa class zajuu! Kikawaida tunatarajia mtu atumie wastani wa lita 20-30 kwa siku!
 
Sijui swala la chumvi maana linahesabika ni freshwater. Lakini PH yake ipo juu japo bado ipo kwenye viwango vinavyofaa kwa binadamu.
 
Mambo makubwa kama yapi mkuu?
 
"Nyasa lina lita 8,500" ?
Hili ni ziwa au tank la maji lililo nyumbani kwa mtu?

Lakini pia wanaposema upungufu wa maji wanamaanisha kwenye vyanzo ambavyo wao ndio wameweka miundombinu.

Ikitokea mvua isinyeshe kwa muda mrefu watalazmika kujenga miundimbinu mipya kwenye vyanzo vingine
 
Mkuu kwani ziwa Victoria n Nyasa hatujashare na nchi zingine?
Nadhani kuna mikataba ya Kimataifa inayohusu kutumia Maji mengi mathalan kugawa maji kwenye miji mikuu yote.
 
Kina cha maji kuwa kidogo katika victoria kumechangia upatikaji wa samaki kuwa rahisi kulinganisha na ziwa Tanganyika na Nyasa yenye kina kirefu.
katika victoria ### Katika ziwa Victoria.

Hata hivyo umetoa komenti iliyo irrelevant na uzi uliopo hapa[emoji1783][emoji1783]
 
Kwa siku tunakunywa lita 100 za maji [emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…