DOKEZO Jinsi ziwa Tanganyika lilivyo na maji mengi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Duniani ziwa Tanganyika ni la pili kwa ukubwa baada ya ziwa Baikal. Ziwa Baikal lina ujazo wa kilomita za ujazo 23,000 huku Tanganyika likiwa na 18,900. Nyasa lina 8,500 na Victoria lina 2,500. Ziwa Victoria linaingia kwenye ziwa Tanganyika karibu mara nane.
Hebu soma tena vyanzo vyako upangilie vizuri wakilisho lako hili. Kuna vipimo/SI Unit vinakinzana. Au ung'eng'e umekupiga chenga uliko-copy & paste [emoji1][emoji1]
 
Duniani ziwa Tanganyika ni la pili kwa ukubwa baada ya ziwa Baikal. Ziwa Baikal lina ujazo wa kilomita za ujazo 23,000 huku Tanganyika likiwa na 18,900. Nyasa lina 8,500 na Victoria lina 2,500. Ziwa Victoria linaingia kwenye ziwa Tanganyika karibu mara nane.

Ziwa Tanganyika lina asilimia 18.9 ya maji yote safi yaliyopo kwenye uso wa dunia. Tanzania sisi tunamiliki 46% ya ziwa Tanganyika. Kwa maana hiyo,
Sibora tunge mpa KAZI ya kutusambazia maji kutoka ziwa Tanganyika mchina tuliyempata akichepusha maji sijui ya ruvu vile angeweza kuyatoa ziwani Tanganyika Hadi mtera, nyumba ya mungu hadi kidatu na mashine zake za kuchepusha maji🏃.
 
Duniani ziwa Tanganyika ni la pili kwa ukubwa baada ya ziwa Baikal. Ziwa Baikal lina ujazo wa kilomita za ujazo 23,000 huku Tanganyika likiwa na 18,900. Nyasa lina 8,500 na Victoria lina 2,500. Ziwa Victoria linaingia kwenye ziwa Tanganyika karibu mara nane.
Hapo kwenye kilomita za ujazo naona kama hapako sawa. Ninavyofahamu mimi kilomita ni kipimo cha urefu na siyo ujazo.
 
Duniani ziwa Tanganyika ni la pili kwa ukubwa baada ya ziwa Baikal. Ziwa Baikal lina ujazo wa kilomita za ujazo 23,000 huku Tanganyika likiwa na 18,900. Nyasa lina 8,500 na Victoria lina 2,500. Ziwa Victoria linaingia kwenye ziwa Tanganyika karibu mara nane.

Ziwa Tanganyika lina asilimia 18.9 ya maji yote safi yaliyopo kwenye uso wa dunia. Tanzania sisi tunamiliki 46% ya ziwa Tanganyika. Kwa maana hiyo, hilo linatufanya tumiliki asilimia kama 8.5 ya maji safi yote yaliyopo kwenye uso wa dunia. Ukijumlisha na sehwmu za ziwa Nyasa na Victoria utaweza
Takwimu iliyonishangaza ni hii ya nyasa kulizidi victoria karibia mara tatu na ushee!
Jamani nikiangalia kwa macho mbona inakataa?
 
Sawa Mkuu.Lkn hapo pa mtu mmoja kunywa lita mia moja kwa Siku umetulisha Matango pori.
Anamaanisha kutumia: kuanzia kunawa, kuoga, kutawadhia chooni, kunywa, kufua na kuoshea vyombo anavyotumia.

Matumizi hayo tena ni kwa kujibana sana.
At least pipa moja ndo mtu mmoja anaweza kutumia kwa siku likamtosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom