DOKEZO Jinsi ziwa Tanganyika lilivyo na maji mengi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kaka tulivyo wavivu. Wapenda vya urahisi. Hodari kwa visingizio. Hatuwezi fanyia kazi hili. Labda tutawaliwe tena!
 
I salute you bro Red Giant
 
Kwa hiyo mtoto anatumia lita mia moja kwa Siku??.Hivi kwa familia yenye watu kumi kwamba watatumia lita 1000???.
Dah! Mkuu mbona hesabu ndogo inakutisha hii?

Lita 1000 ndiyo unit moja ama pipa 5!

Sasa, pipa 5 za maji kwa matumizi ya kawaida kwa kujinafasi hapo nyumbani kwako unaziona ni nyingi sana?

Tusiende mbali, embu tueleze wewe, matumizi yako nyumbani kuanzia kunawa, kuoga mabafuni na matumizi kuflash vyooni, kupikia, kufua, kumwagilia bustani na kunywesha mifugo ya nyumbani unatumia kiasi gani na kwa mwezi mzima unatumia unit ngapi ili tuweze calculate!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu ni kweli ,juzi nilisema hapa TZ hatuna shida ya maji wala umeme maana tuna sources za kutosha sana za umeme na maji,tatizo ni kipaumbele cha watu waliopora madaraka,wanajiangalia wao tu bila kujali maslahi mapana na wananchi na vizazi vijavyo.

Wao wanangalia kutumia mabilioni kwenye kununua V8 ,kujijengea majumba ya kuishi wao officers ,kuishi kiflamboyant tu ,wao wanawaza kupiga madeal tu.

Tuwe na mpango ya muda mrefu ya kusambaza umeme na maji nchi nzima kwa kutumia resources za kutosha ambazo mungu ametupatia....Tuna Gesi Mtwara ,tuna makaa ya mawe ya kutosha mchuchuma/liganga ,tuna upepo wa kutosha singida ,tuna uranium sehemu nyingi sana TZ mf Namtumbo,tuna jua la kutosha sana nchi nyingine jua hawalioni ,tukitumia tu Nuclear Reactor kugenerate Umeme tungeweza kuzalisha MW za kutosha kutuwezesha kufunga umeme hadi kwenye mbuga za wanyama huko porini.

Ukija kwenye maji hapa sisemi kitu ushamaliza.
 
Kwa vyanzo vya majitulivyojaliwa na Mwenyezi Mungu(mito, maziwa, etc.), tatizo LA maji kwa matumizi yote ingelikuwa historia. Maji ya kunywa na kilimo yapo ya kutosho. Lakini utakuta kiongozi mtu mzima analilia mvua. Huko Israel, Misri, etc. waseme nini?

Tatizo kubwa wataalamu wa nchi hii ni wanasiasi, watendaji hutekeleza mawazo yao tu ambayo Mara nyingi yana manufaa binafsi tu na siyo taifa.
 
katika victoria ### Katika ziwa Victoria.

Hata hivyo umetoa komenti iliyo irrelevant na uzi uliopo hapa[emoji1783][emoji1783]
Ukifuatilia vizuri utagundua ni relevant tena iko kimifano!achana na hiyo'katika'inakupotezea muda[emoji23]
 
Kilomita za ujazo mkuu
 
Halafu maji yamekuwa mengi mpaka yanakaribia fika livingstone, yaan limefloat
 
Unit 6 hadi 8
 
Sawa,lkn sikubaliani na usemi kwamba mtoto anaweza Kutumia maji lita mia moja kwa Siku.
Any ways tuseme lita100 ni dumu5 si ndiyo?

Kuna watoto wachafuzi wa mazingira, wacha!

Kuanza kumsafisha asubuhi, kumfulia nepkins zake na nguo za kumbadilishia kutwa nzima, kumuogesha nk, dumu tano sijui kama zitabakia, hiyo nimeisema kwa maxmum!

Kuna siku lazima jedwali la matumizi lishuke hadi dumu1 au 2 sikatai, maana siku zote hazilingani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…