DOKEZO Jinsi ziwa Tanganyika lilivyo na maji mengi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Weka sawa hapo mkuu ziwa Tanganyika ni ziwa la pili kwa kina kirefu duniani na sio ziwa kubwa kuliko ziwa victoria, ni ziwa lenye kina kirefu kuliko ziwa victoria ila sio kubwa kuliko ziwa victoria.
 

Kwani mchina yeye ni nani, tatizo watu mna akili za kitegemezi sana.
 
Km ni pamoja na umwagiliaji hapo sawa;Lkn je watu wote wanafanya umwagiliaji?, Vipi watoto,nao wanatumia hizo lita mia moja kwa Siku??.
Lita Mia moja ni ndoo tano za lita ishirini ishirini. Ni sahihi mtu mmoja kutumia ndoo tano kwa siku. Mfano kama anaoga asubuhi na jioni hizo ni ndoo mbili. Kama atafua nguo chache tu minimum ndoo mbili bado hajafanya mambo mengine. Ni sahihi mtu mmoja kutumia ndoo tano na zaidi kwa siku. Watu hawatumii kwa sababu wana pungufu wa maji
 
Wewe na familia yako huwa mnatumia kiasi gani cha maji??.
 
Serikali haiwezi kutatua au kumaliza kabisa changamoto ya maji, umeme, huduma za afya, barabara kwasababu watakosa cha kuwadanganyia wananchi kipindi cha kampeni. Yaaani kwa kifupi hizi changamoto za wananchi ni mtaji wa wanasiasa [emoji119]. Kwa ujinga wa viongozi wa Tanzania na Afrika kwa ujumla kama ikitokea hakuna shida ya maji, umeme, barabara, zahanati (hospital) madarasa, wataongea nini majukwaani ili wapate kura???
 
Hapo hujaongelea maji yaliyopo chini ya ardhi (underground water), maana nayo ni mengi mno kila mahali!
 
Kabisa!
 
Surely correct!
 
Ziwa Tanganyika ni la 2 duniani kwa kuwa na kina kirefu, kwa ukubwa Ziwa Victoria ni la 3 duniani na Tanganyika nazani ni la 5 au 6 kwa ukubwa
Tanganyika linamaji mengi kwasababu kwanza lina outlet moja tu kule Zambia inayopeleka maji mto Congo, pili lina kina kirefu. Disadvantage ya ziwa ni uwepo wa samaki wachache nazani inachangiwa na uwepo wa species chache za samaki
 
... uko sahihi. Hata hivyo, ukubwa wa Ziwa Victoria unaozungumziwa kwenye elimu yetu umezingatia zaidi ukubwa wa eneo (surface area) badala ya ujazo (volume). Ni suala la kuamua jamii inapaswa ipate ujumbe gani; ukubwa wa eneo au ujazo?
Naam!
 
Takwimu iliyonishangaza ni hii ya nyasa kulizidi victoria karibia mara tatu na ushee!
Jamani nikiangalia kwa macho mbona inakataa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni ukweli kabisa, ziwa victoria linazidiwa ujazo na ziwa Tanganyika. Hata ziwa Nyasa bado lina maji mengi kuzidi Victoria.

Hii ni kwa sababu Ziwa Tanganyika na Nyasa yana kina kirefu kwa sababu yamepitiwa na bonde la ufa. Lakini ziwa Victoria limechukua eneo kubwa lakini lina kina kifupi.

Ziwa Victoria lipo kama sinia, lakini ziwa Tanganyika na Nyasa yapo kama bakuli.
 
Hapo umenena kweli, kikwazo kikubwa cha maendeleo yetu ni sisi wenyewe. Ina maana siri ya kuendelea au kukwama iko kwetu wenyewe, hususan kwa wenye dhamana ya kutuongoza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…