Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania

Kama wanavunja matofali kwenye maonyesho tatizo Nini kuponda kokoto!?? Mitano Tena Kwa Mama
Eti dunia ya Sayansi na Teknolojia hii wanahangaika kuleta maonesho na mbwembwe za kuvunja kokoto na kubeba magogo?

Ndo mana hawatambui hata jukumu lao la msingi la kuilinda Katiba huku wanawaacha CCM wanainyea Katiba wapendavyo.
 
Wamejaza watoto wao unategemea nini, You Know 🙏🏾
 
Eti dunia ya Sayansi na Teknolojia hii wanahangaika kuleta maonesho na mbwembwe za kuvunja kokoto na kubeba magogo?

Ndo mana hawatambui hata jukumu lao la msingi la kuilinda Katiba huku wanawaacha CCM wanainyea Katiba wapendavyo.
Polepole alishasema namnukuu "Tanzania hauwezi kiajiriwa ama kusajiliwa jeshini (majeshi yote) kama hauna kadi ya CCM ndio maana usishangae brigedia anakuwa Mkuu wa mkoa kamishna wa polisi ..." ... Mwisho wa kimnukuu...
 
Alafu hadi leo yupo uraiani. Angekuwa Burkina Faso yule Jeshi lingeshakuwa limemuweka korokoroni kwa kuwadharau.
 
Huwa wanasingizia siri za nchi 😄
Mbona kenya wanatengeneza bunduki na pistols na ziko wazi kabisa

SA, Nigeria, Algeria, Egypt wote wana viwanda

View attachment 3325003
Nigeria nao wameanza kutengeneza Drones.

Sie huku jeshi limeshakuwa mateka wa wajinga CCM. Tusitegemee mambo ya msingi.
 
Wakwetu ni wachumia tumbo🤣
 
Unadharau mradi wa kokoto sio.
 
Nigeria nao wameanza kutengeneza Drones.

Sie huku jeshi limeshakuwa mateka wa wajinga CCM. Tusitegemee mambo ya msingi.
Sijui ni zile sindano za ndui ndio zimetuathiri?

Kweli mbunge anahoji kwa nini hata toothpicks zinatoka china?

Badala waishinikize serikali wanabaki kubeza halafu wanaona sawa tu

Nakumbuka miaka ya 80 nilipokuwa naishi kwa waarabu wenye mafuta
Wao kila kitu wakitaka wanaletewa kwa hela walizokuwa nazo
Ila nao sasa wamebadilika sana vitu vingi wanatengeneza wao ingawa wana hela za kutosha

Sisi masikini jeuri na ujinga juu kisa kundi moja limeshikilia vichwa
 
Hii nchi imeshajifia. Tupate tu Kapteni Traore wetu tuanze upya.
 
Hata mimi Huwa najiuliza Kwa nini Hawa wagunduzi wasipelekwe hata veta watengeneze kilicho Bora zaidi Cha kushangaza wanakamatwa na kupoteza ujuzi hii nchi ya kisengerema sana!
 
Hizo akili wanazo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…