Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania

Inasikitisha kwa kweli.
 
Kwanini kile kiwanda cha kutengeneza magari chapa NYUMBU pale Kibaha kilichoanzishwaga na Nyerere kikiwa chini ya JWTZ hawahawa kimeishiaga wapi...?

Kipo au nacho kwishinei kilishafisadiwa na ma - CCM na kukimaliza kabisa..?

Aidha pale pale Kibaha kulikuwa na kiwanda kingine pia kilichokuwa kina - assemble magari aina ya SCANIA kikijulikana kama Tanzania Automobile Manufacturer Company LTD (TAMCO), nacho kiliishiaga wapi..?

Kipo au au nacho kwa sbb ya sera mbovu za CCM, kimekwishinei kwa kufisadiwa na hawa nzi wa kijani kukimaliza..?
 
Ukiwakumbatia CCM huwezi kuwa na akili za kufanya mambo makubwa.
 
Endelea kufanya kazi uliyotumwa hapo Lumumba tu.

Mmetuharibia sana hii nchi Wapuuzi nyie. Mmeziharibu taasisi zote hadi saivi nchi yetu imekuwa kituko hadi kwa Wanamgambo wa M23.

Siku yenu itafika mtaukana huo u CCM wenu.
Endelea kusubiri, nyumbu mpuuzi!
 
JW wameanzisha kitu inaitwa frame economy!!!!!! Nenda Lugalo, wamefyeka msitu wote na kujenga frames….ila bongo kuna vitu vinafanyika unajiuliza hupati majibu.
Unaambiwa lile eneo waliloweka Frem zilikuwa Zina Obstacle(Vikwazo) kwaajili ya mazoezi Yao..ila Vikwazo viliondolewa zikawekwa Frem na mabaaa..


aibu aibu aibu ...
 
Sishangai unaweza kuta hapo Kibaha Mafremu yamejengwa
 
..unaongea nini wewe..? Lini binadamu anatabirika ukadhani siku zote itakuwa km jana na hvyo huoni sabab ya kujiandaa kimapambano wakati wowote yakitokea? maneno ya kijuha kabisa! halafu vita au adui zako lazima wawe ni wale mnashare mpaka..? unaumwa..! wakati wa utulivu ndio hasa wa kujiimarisha kwenye maeneo yote na hasa kimbinu na vifaa..! Acha perception za kizembe, amani..amani gani unaongelea..! lini na wapi maendeleo ndio kipaumbele cha jeshi..? Acha kuwaza kitoto bwn kila mahali ni maadui hapa wametuzunguka!
 
Kwa akili yako unaamini hao Ethiopia wanaunda kila kitu kuhusu hizo drones?
Hapo ni ku assemble tu, wana ubia na nchi nyingine zinazo supply vifaa.

Afrika bila ngozi nyeupe hakuna jipya.
Sasa wakwaki ziko wapi?
 
Mpuuzi ni wewe . Na bookmark this. Ipo siku mtatamani mkimbie hii nchi nzi wa kijani nyie.
Mtaanza kukimbia nyie vibaraka na wake wa wabelgiji kabla ya sisi mpumbavu wewe.......hatuwezi kuiacha nchi tuliyoikomboa kwa vibaraka hata kwa sekunde 2 mamamamamae!!!
 
..halafu anaongea bila hata aibu eti nilishindwa kumkubalia amiri jeshi mkuu agizo lake la kumpeleka akafie nyumbani, mkuu wako anakupa order umpeleke nyumbani kuna discussion hapo..? Suppose aliposhindwa kutii order angemwambia kuanzia sasa wewe siyo cdf na kuagiza itangazwe hivyo, angeendelea kuwa cdf..? mambo mengine hakupaswa kutamka kabisa!
 
Wanapora ujasiliamali wa raia
 
Na hiyo ni kazi ya msingi ya JWTZ?
Duh! Ulifundishwa na nani kuwa JWTZ inahusika moja kwa moja na ulinzi wa raia ndani ya nchi?
Mnalaumu badala ya kukosoa hata sheria zilivyo.
Wewe saguda47 acha kuwa mjinga..hivi adui wa raia lazima apitie mipakani? Kiongozi hawezi kuwa adui wa raia anaowaongoza..? Acha kukariri vitu, Think!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…