Nimeandaa matunda parachich, Tango,Ndizi,passion,mchaichai Na tangawizi Ni juisi yangu pendwa Sana Huu mchanganyiko .
Nikasema niandae zangu baadae nikae nawatch movie huku nashushia juisi yangu....nimeanza kusaga tu Brenda ikaungua😭...Yan nimeishiwa pozi...
Utaenda na brenda sioKumbe?! Kesho kutwa nitakua Muheza
Huu uzi kuna mtu anatafutwa anunue brenda apige na kimasihara. Uzi umekaa kidangaji dangaji sana.Nimeandaa matunda parachich, Tango,Ndizi,passion,mchaichai Na tangawizi Ni juisi yangu pendwa Sana Huu mchanganyiko .
Nikasema niandae zangu baadae nikae nawatch movie huku nashushia juisi yangu....nimeanza kusaga tu Brenda ikaungua😭...Yan nimeishiwa pozi...
Karibu TangaKumbe?! Kesho kutwa nitakua Muheza
Naanzaje kwenda mikono mitupu sasa? Nitawawakilisha vyema, aseme aina ya Brenda anayotaka mapema SanaUtaenda na brenda sio
Ndo hizo hizo za china, wanauza 60k sinza hapo, hamna kitu, hazimalizi miezi miwili.Hapana Ni Silver crest
Hilo limeisha tayari, ni Segera au ni Tanga Mjini? Hapa unaanza kutuvurugaKaribu Tanga
1. Tafuta fundi inaweza kuwa haijaungua yaweza kuwa ni shoti tu kwenye nyaya ukiwamo waya wa blender.
2. Muhimu usiwahi kujiaminisha imeungua bila kuthibitishwa na fundi mwenye kifaa mahsusi cha kupimia.
3. Tatizo linaweza kuwa dogo tu kama fuse ..
Huu uzi kuna mtu anatafutwa anunue brenda apige na kimasihara. Uzi umekaa kidangaji dangaji sana.
Niliipeleka Kwa fundi ikarudi kuitumia ndoivo ikawa inatoa harufu YA kuunguaHuu uzi kuna mtu anatafutwa anunue brenda apige na kimasihara. Uzi umekaa kidangaji dangaji sana.
Njoo michungwani hapa, uchukue ya Kwangu. 😋😋.Niko Tanga segera
Ashindwe mwenyewe, unapeleka brenda na matunda....jioni anablend hiyo juice mnaanza aloposhia.Naanzaje kwenda mikono mitupu sasa? Nitawawakilisha vyema, aseme aina ya Brenda anayotaka mapema Sana
Hii nlinunua mwaka juzi laki na 20 ilikua haisumbuiNdo hizo hizo za china, wanauza 60k sinza hapo, hamna kitu, hazimalizi miezi miwili.
Hapana, nitampelekea mpya, asante Kwa msaada wakoNjoo michungwani hapa, uchukue ya Kwangu. 😋😋.
Picha yake please.....Aisee Pole sana. Ndio zile blenda za niffer au? 🙈Anyway, tafuta blender inaitwa Nama. Ni MKATABA.
Nimeambulia kajuice kadogo ka kunipoza kooPole sana, basi tena kwa leo....
Segera MkuuHilo limeisha tayari, ni Segera au ni Tanga Mjini? Hapa unaanza kutuvuruga
Ashindwe mwenyewe, unapeleka brenda na matunda....jioni anablend hiyo juice mnaanza aloposhia.
Tunatoa msaada kwa wadada Tu, hopefully you are.....JF ngumu hiiSegera Mkuu
Mimi nina mashamba Kabuku, kwedikwazu, mkata hadi kwa ludege, nakuja week ijayo, nitakuletea blender mpya mpaka hapo Michungwani.Tanga segera maeneo ya Michungwani