Jipatie King'amuzi cha Canal Plus

Jipatie King'amuzi cha Canal Plus

Mzigo wa Canal Plus bado upo. Tuwadiliane kwa 0629439450 tukuagizie mzigo popote ndani ya Tanzania.
 
Wakuu, hebu tupeni experience ya hiki king'amuzi, kwenye sports kwa ujumla. Maisha yanasonga freshi tuu na ki-French?

Apart from football, boxing matches zipo?MMA/UFC?
Maisha yanasonga vizuri tu, Boxing UFC MMA kama zote...

Lugha tu ndio kipengele, French

Currently ndio nakitumia, nilinunua king'amuzi tupu nikaunganishia dishi la Bakhresa
 
Mzigo wa Canal Plus bado upo. Tuwadiliane kwa 0629439450 tukuagizie mzigo popote ndani ya Tanzania.
Oya mwanangu kifurushi kimepanda bei? Kutoka 40, 42,47 na sasa hivi 50k?

Ni maagent mnatofautiana au..
 
Tupe muongozo mkuu turahisishe na sisi tunaohangaika

Mleta mada upo? Hivi ukitaka kubadili lugha kwe Canal+ kama tunavyofanya dstv unafanyaje hebu lete hatua za kufuata?
Hili haliwezekani. Mfumo ni kifaransa. Ukihitaji English package,ipo lakini gharama ni kubwa. Mfano kama umelipia kifurushi cha elfu 40, unatakiwa kuongeza 80 elfu ndo upate package ya kingereza
 
Haya madishi yanatoka Rwanda na Burundi. Na ndo maana unaona kila mtu ana bei yake mkuu. Akinunulia huku,ni kwamba kaletewa kwa order au kanunua kwa mtu anayefanya biashara kwa kuagiza kits
🤣🤣🤣🤣 sema jamaa wanatupiga sana.

Niliwasiliana na agent wa hivi ving'amuzi. Jamaa anasema Canal+ complete, yaani dishi na decoder ni Tsh 150,000/=
Ukija hapa sasa, jamaa anakwambia hana dishi zipo decoder tu.
One day nilipishana na jamaa pale Makumbusho Bus Stand amebeba dishi jipya la Canal+ mpaka nikajiuliza huyu jamaa kanunua wapi?
Nikatinga Kariakoo nimetafuta sana kila kona, hakuna.
 
Wakuu, hebu tupeni experience ya hiki king'amuzi, kwenye sports kwa ujumla. Maisha yanasonga freshi tuu na ki-French?

Apart from football, boxing matches zipo?MMA/UFC?
MMA/UFC ni nini mkuu!? Soon ntakupa kablasha la channels zilizopo
 

Attachments

  • IMG-20231215-WA0011.jpg
    IMG-20231215-WA0011.jpg
    92.4 KB · Views: 42
Niliwasiliana na ajenti yupo Bunjumbura anasema gharama ya kifurushi ni 40k kama sio 43k
Ni channel zooote
Si kweli. Hiyo ni package number 3, maana zipo 4. Ukitaka channels zote,za kifaransa+ za kitanzania,ni kama elfu 90 na zaidi kidogo. Ukijumlisha na package ya kingeleza,kwa hizo channels zote inaenda kwenye 190k
 
Kama nahitaji na dish inakua kiac gan
Kwanza upate kwa order,na ndo maana gharama zinakuwa kubwa kidogo. Wengi utakuta wana decoder tuuu,kwa sababu gharama za dish hawataki,ukilihitaji utapata
 
Channels zote kivipi,yaani vifurushi vyote ni 43k? Acha uongo Mkuu,channel zote za mpira kifurushi cha Evasion ndio 43k,premium ni 100k+ ambapo unapata package yote mpaka za pilau live from France.
Kifurushi cha 43k kinaonyesha nba na ngumi za ufc?
 
Back
Top Bottom