Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo nyie ni wapigaji. Kifurushi cha 40k mnauza 46kMalipo ni kupitia mawakala ambao tupo kibao na kinafunguka ndani ya muda mfupi.
Hiki si ndio tcra walipiga marufuku...?
Sasa bila dish kinashikaje?
Maisha yanasonga vizuri tu, Boxing UFC MMA kama zote...Wakuu, hebu tupeni experience ya hiki king'amuzi, kwenye sports kwa ujumla. Maisha yanasonga freshi tuu na ki-French?
Apart from football, boxing matches zipo?MMA/UFC?
Oya mwanangu kifurushi kimepanda bei? Kutoka 40, 42,47 na sasa hivi 50k?Mzigo wa Canal Plus bado upo. Tuwadiliane kwa 0629439450 tukuagizie mzigo popote ndani ya Tanzania.
Imategemea na agentOya mwanangu kifurushi kimepanda bei? Kutoka 40, 42,47 na sasa hivi 50k?
Ni maagent mnatofautiana au..
Dish lolote linafaa mkuuSasa bila dish kinashikaje?
Vifurushi vipo kwaOya mwanangu kifurushi kimepanda bei? Kutoka 40, 42,47 na sasa hivi 50k?
Ni maagent mnatofautiana au..
Tupe muongozo mkuu turahisishe na sisi tunaohangaika
Hili haliwezekani. Mfumo ni kifaransa. Ukihitaji English package,ipo lakini gharama ni kubwa. Mfano kama umelipia kifurushi cha elfu 40, unatakiwa kuongeza 80 elfu ndo upate package ya kingerezaMleta mada upo? Hivi ukitaka kubadili lugha kwe Canal+ kama tunavyofanya dstv unafanyaje hebu lete hatua za kufuata?
🤣🤣🤣🤣 sema jamaa wanatupiga sana.
Niliwasiliana na agent wa hivi ving'amuzi. Jamaa anasema Canal+ complete, yaani dishi na decoder ni Tsh 150,000/=
Ukija hapa sasa, jamaa anakwambia hana dishi zipo decoder tu.
One day nilipishana na jamaa pale Makumbusho Bus Stand amebeba dishi jipya la Canal+ mpaka nikajiuliza huyu jamaa kanunua wapi?
Nikatinga Kariakoo nimetafuta sana kila kona, hakuna.
MMA/UFC ni nini mkuu!? Soon ntakupa kablasha la channels zilizopoWakuu, hebu tupeni experience ya hiki king'amuzi, kwenye sports kwa ujumla. Maisha yanasonga freshi tuu na ki-French?
Apart from football, boxing matches zipo?MMA/UFC?
Siyo kivile mkuu,mpaka kit imfikie mtu, huenda yeye anapata kitu kama 50k tuHawa wajanja wajanja sana
Hata kinyarwanda ukijifunza utajua tu. Japo local channels zote za Tanzania kwa sasa zipoKinyarwanda au 😅😅
Hahahahahaha hapo kuna service charges,maana anaelipia hapo lazima na yeye apate hata juice mkuuTatizo nyie ni wapigaji. Kifurushi cha 40k mnauza 46k
Si kweli. Hiyo ni package number 3, maana zipo 4. Ukitaka channels zote,za kifaransa+ za kitanzania,ni kama elfu 90 na zaidi kidogo. Ukijumlisha na package ya kingeleza,kwa hizo channels zote inaenda kwenye 190kNiliwasiliana na ajenti yupo Bunjumbura anasema gharama ya kifurushi ni 40k kama sio 43k
Ni channel zooote
Kwanza upate kwa order,na ndo maana gharama zinakuwa kubwa kidogo. Wengi utakuta wana decoder tuuu,kwa sababu gharama za dish hawataki,ukilihitaji utapataKama nahitaji na dish inakua kiac gan
Kifurushi cha 43k kinaonyesha nba na ngumi za ufc?Channels zote kivipi,yaani vifurushi vyote ni 43k? Acha uongo Mkuu,channel zote za mpira kifurushi cha Evasion ndio 43k,premium ni 100k+ ambapo unapata package yote mpaka za pilau live from France.
Mma na nba kifurushi cha shilingi ngapi?Maisha yanasonga vizuri tu, Boxing UFC MMA kama zote...
Lugha tu ndio kipengele, French
Currently ndio nakitumia, nilinunua king'amuzi tupu nikaunganishia dishi la Bakhresa
Hizi channel za Tanzania zinaonekana kwenye hicho kifurushi cha 46k?Hata kinyarwanda ukijifunza utajua tu. Japo local channels zote za Tanzania kwa sasa zipo