The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Ivi hizi sheria zakijinga za mita 1.5 huwa ni wajinga gani huwa walipitiasha hiyo sheria.. huku nchi zilizoendelea hakuna mita 1.5 wala nini ni ukuta kwa ukuta, hizo mita ndio vichochoro vya waiziKiwanja kimepimwa?
Kama kimepimwa je uliacha mita 1.5 kutoka kwenye jiwe la mpaka?
Kama uliacha hiyo mita 1.5 basi anakuingilia angalia sheria inasemaje. Iwapo viwanja havijapimwa pia je ulijenga fensi kwenye mpaka kabisa au ikoje?
Agiza mamlaka ziende pale tena abomolewe kabisa, dawa ya hii kitu uwe na video clip uiweke hapaWakuu habari zenu,
Nipo kwenye changamoto na jirani yangu hapa anayetaka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu. Upande mmoja na cha kushangaza analazimisha na Ujenzi umeshafikia level ya fensi sasa kimbembe anataka aongeze kozi kadhaa za tofali kwenye fensi yangu ambayo ninataka iishie hpo ilipo na niweke zile electric wire au urembo wa fensi ninao utaka Mimi.
Hivyo ananiharibia plan za kutengeneza fensi ninayoitaka Mimi, mbya zaidi Niko mbali na nyumbani, kwani nyumba nimeijenga huko kanda ya ziwa na Mimi Niko hapa mjin Dar. Ninapomuambia asubiri nirudi ili nione anachotka kufanya anakuwa haelewi...
Kwa mazingira haya nashindwa kumuelewa kabisa kwani kama kiwanja anacho kikubwa kuliko Mimi. Hebu nishaurini maana ugomvi sipendi lakni naona ananichokoza to the maximum.
Agiza mamlaka ziende pale tena abomolewe kabisa, dawa ya hii kitu uwe na video clip uiweke hapa
Hata kama ni ujenzi wa bila vipimo vya ardhi haki ni haki tu, Tatizo wasukuma wanaringia sana uchawi.Na hapa ndipo unapoonekana umuhimu wa kua na kibali cha ujenzi, kwa wote wawili.
Wale wa masaki wanajielewa,,Je kuhusu Fensi?
Fensi nayo uache mita mbili kila upande?
Mbona naonaga Fensi za watu (Mikocheni, Masaki) zimeungana
Hizo hatua ulizoacha zitasaidia wakati wa kurepair au kufanya usafi ukuta wako unakuwa ndani ya eneo lako na sio Kwa mtu.Hivi kila mtu akiacha mita 1.5 toka kwenye mpaka ndio ajenge ukuta wa fence si mtaa utajaa vichochoro vya kufa mtu mkuu?
Weka vigingi vya kupitisha fensi ya umeme juu ili avunje mkakutane mahakamaniNipo kwenye changamoto na jirani yangu hapa anayetaka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu. Upande mmoja na cha kushangaza analazimisha na Ujenzi umeshafikia level ya fensi sasa kimbembe anataka aongeze kozi kadhaa za tofali kwenye fensi yangu ambayo ninataka iishie hpo ilipo na niweke zile electric wire au urembo wa fensi ninao utaka Mimi.
Ni kweli lakini athari yake ni kuruhusu vikaka kwa wingi kujificha na kuruka kuta kuingia ndaniTaratibu za ujenzi zinataka muache mita mbili kila upande,
Mbona rahisi sana,Wakuu habari zenu,
Nipo kwenye changamoto na jirani yangu hapa anayetaka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu. Upande mmoja na cha kushangaza analazimisha na Ujenzi umeshafikia level ya fensi sasa kimbembe anataka aongeze kozi kadhaa za tofali kwenye fensi yangu ambayo ninataka iishie hpo ilipo na niweke zile electric wire au urembo wa fensi ninao utaka Mimi.
Hivyo ananiharibia plan za kutengeneza fensi ninayoitaka Mimi, mbya zaidi Niko mbali na nyumbani, kwani nyumba nimeijenga huko kanda ya ziwa na Mimi Niko hapa mjin Dar. Ninapomuambia asubiri nirudi ili nione anachotka kufanya anakuwa haelewi...
Kwa mazingira haya nashindwa kumuelewa kabisa kwani kama kiwanja anacho kikubwa kuliko Mimi. Hebu nishaurini maana ugomvi sipendi lakni naona ananichokoza to the maximum.
Njoo Zanzibar hapa stone town ujionee vichochoro vya mita 1.5. Yani ni hatari, kila jengo linanjia pande nne, mbele, nyuma, kushoto na kulia.Hivi kila mtu akiacha mita 1.5 toka kwenye mpaka ndio ajenge ukuta wa fence si mtaa utajaa vichochoro vya kufa mtu mkuu?
Mambo ya kuacha mita 1.5 ni kwenye sqata. Fensi zinatakiwa kiumana ili kiepusha vichochoro.Kiwanja kimepimwa?
Kama kimepimwa je uliacha mita 1.5 kutoka kwenye jiwe la mpaka?
Kama uliacha hiyo mita 1.5 basi anakuingilia angalia sheria inasemaje. Iwapo viwanja havijapimwa pia je ulijenga fensi kwenye mpaka kabisa au ikoje?
Sijawahi ona huo ujinga kwenye viwanja vilivyopimwaSheria zinasema hivyo, isipokuwa mazoea ya watu wengi yapo kinyume na hivyo. Sheria ni kitu kimoja na utekelezaji wa Sheria ni kitu kingine.
Haitosaidia, amuachie tu maisha yaendelee. Vita, kesi na uadui havina maana kwani maisha haya ni mafupi sana.Mbona rahisi sana,
Ondoa uchungu na hasira mkuu.
Fanya kazi zako za maendeleo kama kawaida.
Siku ukifika kanda ya ziwa huko ondoa ukuta wako yeye abaki na kozi zake na lenta huko juu.
zitashikiliwa na nini hiyo haikuhusu.
Kesi za hivi nazipenda mmnoo,
Wewe ulitaka akurudishie gharama?Kaka pole Sana, haya yalishanikuta jirani alikuta tayari nimeshamaliza nyumba yangu safi na ukuta safi pande zote nne. Akajenga wa kwake na upande mmoja akatumia wa kwangu bure kabisa, sasa uwanja wangu hupo chini na kwake ni juu, kwa kweli nilijenga kozi za tofari zaidi ya 9 akasema niongeze eti kwake pafupi, nikaongeza kozi 2. Bado akawa anaomba niongeze tena. Nikamwambia wewe ni mtoto wa kiume au vipi unamwambiaje mwanaume mwenzako akujengee ukuta bure kabisa [emoji3][emoji3]
Nafasi unayotakiwa kuweka jengo lako toka mpaka wa kiwanja siyo fensi. Inazuia watu kujenga jengo kujaza uwanja mzimaIvi hizi sheria zakijinga za mita 1.5 huwa ni wajinga gani huwa walipitiasha hiyo sheria.. huku nchi zilizoendelea hakuna mita 1.5 wala nini ni ukuta kwa ukuta, hizo mita ndio vichochoro vya waizi