Njoo PM please ukerewekwetuNi nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.
Nipo Kigamboni.
NimeshakujaNjoo PM please ukerewekwetu
Umeona uje unwage taarifa huku sio , sawa jiran hamna shidaNisaidie contact zao tafadhali,sina roho mbaya nae,kinachokera ni kelele na usumbufu anaotusababishia majirani kwa shughuli zake zisizo halali,kwa nini asiende kuifanyia mahali ambako hatakuwa kero kwa wengine??
Acha unaa vijana aliowaajir utahudumia famlia zao?Ni nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.
Nipo Kigamboni.
Kama ukinywa unalewa na kupata stimu za kutosha basi hiyo sio feki.Ni nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.
Nipo Kigamboni.
Nyie watu mna corrupted minds sana. Yaani mtu anaetoa taarifa kwa manufaa ya umma kwenu ndio adui. Kwahio jirani angekuwa tajiri ndio angefurahia shughuli haramu jirani na kwake?Ogopa kuwa na jirani maskini
Usiwe na shaka. Mwenye brand yake huwa anadili nao hao ipasavyo.Ni nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.
Nipo Kigamboni.
Hawana website wala namba ya simuWatonye k vant wenyewe upate mshiko.
Ukiripoti kwa Hawa wapenda rushwa, watakwenda kwa mwenye kiwanda feki kuchukua rushwa na Kisha kuripoti wewe kwa mtengeneza feki.
Je una unavu wa kupambana naye? Kachukue pesa K VANT OG.
Wafuate kiwandani, wewe unataka pesa ikufuate nyumbani kwako?Hawana website wala namba ya simu
Aanze kijisafisha yeye Kwanza ndio aje ausafishe Umma.Nyie watu mna corrupted minds sana. Yaani mtu anaetoa taarifa kwa manufaa ya umma kwenu ndio adui. Kwahio jirani angekuwa tajiri ndio angefurahia shughuli haramu jirani na kwake?
Alishe yake kwa kuua za wengine??Acha unoko ndugu..
Nchi yenyewe ina ufeki kila mahali, siasa feki, maisha feki, serikali yenyewe ina viongozi wenye ufeki mwingi..
Acha mwamba alishe familia yake..
Mtaarifu yeye kuachana na hiyo biashara ikishindikana kamripoti kwenye mamlaka husikaNi nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.
Nipo Kigamboni.