Jirani anazalisha K Vant feki na kuziingiza sokoni, nimripoti wapi?

Status
Not open for further replies.
Ni nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.

Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.

Nipo Kigamboni.
Njoo PM please ukerewekwetu
 
Acha ale kwa urefu wa kamba yake, mbona hauwaripoti mafisadi wanaochota mabilioni serikalini!
 
Nisaidie contact zao tafadhali,sina roho mbaya nae,kinachokera ni kelele na usumbufu anaotusababishia majirani kwa shughuli zake zisizo halali,kwa nini asiende kuifanyia mahali ambako hatakuwa kero kwa wengine??
Umeona uje unwage taarifa huku sio , sawa jiran hamna shida
 
Ni nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.

Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.

Nipo Kigamboni.
Acha unaa vijana aliowaajir utahudumia famlia zao?
 
Ni nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.

Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.

Nipo Kigamboni.
Kama ukinywa unalewa na kupata stimu za kutosha basi hiyo sio feki.
Feki ni ile ukinywa ni kama chai
 
Ni nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.

Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.

Nipo Kigamboni.
Usiwe na shaka. Mwenye brand yake huwa anadili nao hao ipasavyo.
 
Watonye k vant wenyewe upate mshiko.
Ukiripoti kwa Hawa wapenda rushwa, watakwenda kwa mwenye kiwanda feki kuchukua rushwa na Kisha kuripoti wewe kwa mtengeneza feki.
Je una unavu wa kupambana naye? Kachukue pesa K VANT OG.
 
Hawana website wala namba ya simu
 
Nyie watu mna corrupted minds sana. Yaani mtu anaetoa taarifa kwa manufaa ya umma kwenu ndio adui. Kwahio jirani angekuwa tajiri ndio angefurahia shughuli haramu jirani na kwake?
Aanze kijisafisha yeye Kwanza ndio aje ausafishe Umma.
 
Acha unoko ndugu..

Nchi yenyewe ina ufeki kila mahali, siasa feki, maisha feki, serikali yenyewe ina viongozi wenye ufeki mwingi..

Acha mwamba alishe familia yake..
Alishe yake kwa kuua za wengine??
 
Acha roho mbaya,nyie ndo mnaokuja kuwa wachawi mkizeeka,
Mfuate akupe akili upate ela na sio kuwa mchawi mchawi
 
Ni nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.

Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.

Nipo Kigamboni.
Mtaarifu yeye kuachana na hiyo biashara ikishindikana kamripoti kwenye mamlaka husika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom