Jirani kalisahau wowowo lake nje

Jirani kalisahau wowowo lake nje

Umeonaeee. Yaani mbio Hazard kaja kutuhoji wana jf wakati anaewaumiza shingo anaye huko Mtaani.

Ila mdogo wangu kuna vidada havina aibu hata kidogo huenda kangejichekesha, basi na hapo Hazard angelainika na asingeendelea nayo tena.
Ni kweli kabisa, labda angemwambia pia kausha basi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaani kokote mtakako hamia na sisi tumo,tutaenda sambamba tu hakuna namna[emoji23][emoji23]
Naona sasa ifike mwisho..sijui tuhamie kiungo gani
tapatalk_1532450482491-1.jpeg
 
Back
Top Bottom