Jirani mkorofi, anafugia ng'ombe kwenye ukuta wangu

To a ukuta wako, wewe ndie mkorofi kama umeamuwa kujenga fensi yeye yuko kwake na wewe uko kwako basi hupaswi kumuingilia.

Wewe mwenyewe unakero kibao, ana kuvumilia tyu hakuna mkamilifu
Basi nafuga nguruwe na yeye ni muislamu na sitasafisha banda kwa muda wa mwezi mmoja nione nani bingwa.!!
Ananiletea ukhanithi mimi.
 
Kaa na jirani yako muone mnatatua vipi suala Hilo... Ikishindikana nenda Kwa mamlaka husika. Ila usifanye Hila kupoteza uhai wa ng'0mbe wao hawana makosa.
Mwisho wa siku wote mtaacha ng'ombe na ukuta Hapa duniani.
Nimeshamuambia kero ya harufu ya mavi ya ng'ombe wake ila anajifanya hajali.
Ubaya ni ubaya tu.
 
Bomoa huo ukuta
 
Mwingine kujenga shimo la choo limeingi hadi kwenye kiwanja cha mwenzie
 
Sasa ng'ombe wamekosea nini? Aside kuna watu mna roho mbaya.
Wanyama hawana kosa. Mwenyekiti ng'ombe ndio washughulikiwe.
Ngo'ombe ndio wanampa kichwa huyo jirani... nikideal nae kwa kumdhuru yeye ni mbaya zaidi ya kudhuru hiyo mifugo.. sasa dawa ni ku deal na mifugo.
 
Huyo angenikuta mimi hilo banda angekuwa kashavunja kabla hajafikiria kulijenga.

My property is my fuccking property. Kama hauwezi fujo na ubane basi nenda kamshitaki na ahakikishe awe amevunja hilo banda ndani ya week 1 au utavunja mwenyewe, na hawezi kukudai sababu sehemu ni ya kwako. Njia pekee ya kudeal na mtu ambaye unajua ni mkorofi na mshenzi ni kuwa mshenzi na mkorofi zaidi yake.
 
Yaani apuuzie alafu aendelee kusikiliza harufu za mavi wakati ametoa pesa ya jasho lake kununua hiyo sehemu?

Watu wengine ni mafala kinyama, mnaishi kwa kuogopa watu, fukking bizarre shit!
 
Ongeza urefu wa ukuta ili kukwepa harafu ya kinyesi na kuondoa kero za makelele....
Why achome pesa wakati anaweza kumwambia tu atoe hizo ng'ombe nyumbani kwake? Una miaka mingapi aisee mpaka kuja na nonsensical conclusion possible juu ya tatizo dogo?
 
Yaani apuuzie alafu aendelee kusikiliza harufu za mavi wakati ametoa pesa ya jasho lake kununua hiyo sehemu?

Watu wengine ni mafala kinyama, mnaishi kwa kuogopa watu, fukking bizarre shit!
Harufu ya mavi ya ng'ombe wa Jirani yamhusu nn?
 
Jipange uuze hapo amia kwingine, kushindana na mtu asiye mstaarabu utaumia wewe.
 
Hii kero ya kupanda miti ya kudumu mpakan na mimi imenikumba lakini ukimuelewesha anakuwa mkali zaidi ya pilipili kichaa.
Aisee sikia! Mtu mkorofi haeleweshwi sababu amejiandaa kutoelewa. Mtu mkorofi ni kuwa mkorofi zaidi yake. Kuna mpuuzi alikuwa analeta ujinga nikamwambia ukiendelea kuleta ufala nitakuja kukubonda. Right now amekuwa mpole na haniletei tena ujinga.

Hapa duniani kuna predators na preys au waoneaji na waoneajwi kama uko kundi la pili basi jiandae kuonewa. Cha msingi ni kuwa muonevu unayeonea waonevu wengine ili uishi kwa amani.

Mimi napenda sana mtu anichokoze nimwambie alafu ajifanye mkali, hapo unakuwa umenipa sababu ya kukumaliza na kitakachofuata ni lazima ujute. Hiyo ndio njia pekee ya kuishi na watu kwa amani. Wanasema If you want peace, parabellum. Kama unataka amani basi jiandae kwa vita.
 
PUMBA!
 
Hii ni lose lose situation🤣
 
Ngo'ombe ndio wanampa kichwa huyo jirani... nikideal nae kwa kumdhuru yeye ni mbaya zaidi ya kudhuru hiyo mifugo.. sasa dawa ni ku deal na mifugo.
Kufanyiana vitu vibaya haina mwisho.Kumfanyia mwenzako is just escalation. Unazidisha tu uhasama na hujui retaliation itakuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…