Jirani mkorofi, anafugia ng'ombe kwenye ukuta wangu

Why achome pesa wakati anaweza kumwambia tu atoe hizo ng'ombe nyumbani kwake? Una miaka mingapi aisee mpaka kuja na nonsensical conclusion possible juu ya tatizo dogo?
Why calling it nonsensical conclusion.?

Sina uhakika kama uliishawahi kuishi uswahilini, yaani unachulia mambo simple tu eti umwambie aamishe mifugo yake...πŸ€”πŸ€”

Inaonekana hiyo mifugo ulimnunulia wewe, inaonekana umeisha mtafutia pa kupeleka atakapo toa kwake.

Hebu uwe unatoa comments zenye mashiko.
 
Thanks for good message. Na mimi nimeamua kuwaonesha makucha yangu. Kwanza nilikamata mmoja akalala ndani alipotoka akawa mpole, bado kuna ndugu zake kenge flani hivi nao nataka siku wakikohoa tu nikaskia nasweka ndani maan walikuwa wananiambia siwafanyi kitu eti nawasha moto nisioweza kuuzima. Ghafla wakashangaa gari inakuja imejaa askari, alivyotoka mdomo ukaisha. Mimi ni mkorofi sn tena sn tu nilikopita kusoma kote wananijua walioniletea dharau, hata uraiani kuna wanaonijua kwa maamuzi yangu magumu ila huwa sichokozi mtu huwa nasubiriwa tu nichokozwe. Ila hawa majirani kwa vile siishi nao hapo kwa hiyo wananichukulia poa. Kwa hiyo hata mimi huwa nina apply hii kanuni yako, akikuletea ukorofi wewe kuwa mkorofi zaidi yake.

Asante kwa kuniongezea nguvu.
 
Kwann ulijenga ukuta mpakani?????
 
Pia atalipwa ujue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Safi sana

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Mwaka mzima unafagia
Unafaidi maembe miezi kazaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Maembe yake matamu adi unasahau kama hua unayafagilia mwaka mzima πŸ˜‚
Inapoza machungu
 
Duuuuh watu mpo siriazi.
 
Mtu yoyote anayegombania mpaka au eneo kwangu namuona hana akili kwasababu hakuna aliyewahi kuzikwa navyo hvyo.
Kweli, kwetu jirani kajenga hadi kwenye eneo letu,yaani pikipiki zikipita inakuwa shida ukuta wetu unanusurika kugongwa,

Sasa jirani alisikika akisema "kama anataka nibomoe hapa anilipe million moja"

Kafa mwaka jana,nimejifunza kitu,coz baba yetu aliyejenga kafa na huyu baba jirani kafa na hakuna aliyezikwa na nyumba yake, wamekufa wameviacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…