Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why calling it nonsensical conclusion.?Why achome pesa wakati anaweza kumwambia tu atoe hizo ng'ombe nyumbani kwake? Una miaka mingapi aisee mpaka kuja na nonsensical conclusion possible juu ya tatizo dogo?
Thanks for good message. Na mimi nimeamua kuwaonesha makucha yangu. Kwanza nilikamata mmoja akalala ndani alipotoka akawa mpole, bado kuna ndugu zake kenge flani hivi nao nataka siku wakikohoa tu nikaskia nasweka ndani maan walikuwa wananiambia siwafanyi kitu eti nawasha moto nisioweza kuuzima. Ghafla wakashangaa gari inakuja imejaa askari, alivyotoka mdomo ukaisha. Mimi ni mkorofi sn tena sn tu nilikopita kusoma kote wananijua walioniletea dharau, hata uraiani kuna wanaonijua kwa maamuzi yangu magumu ila huwa sichokozi mtu huwa nasubiriwa tu nichokozwe. Ila hawa majirani kwa vile siishi nao hapo kwa hiyo wananichukulia poa. Kwa hiyo hata mimi huwa nina apply hii kanuni yako, akikuletea ukorofi wewe kuwa mkorofi zaidi yake.Aisee sikia! Mtu mkorofi haeleweshwi sababu amejiandaa kutoelewa. Mtu mkorofi ni kuwa mkorofi zaidi yake. Kuna mpuuzi alikuwa analeta ujinga nikamwambia ukiendelea kuleta ufala nitakuja kukubonda. Right now amekuwa mpole na haniletei tena ujinga.
Hapa duniani kuna predators na preys au waoneaji na waoneajwi kama uko kundi la pili basi jiandae kuonewa. Cha msingi ni kuwa muonevu unayeonea waonevu wengine ili uishi kwa amani.
Mimi napenda sana mtu anichokoze nimwambie alafu ajifanye mkali, hapo unakuwa umenipa sababu ya kukumaliza na kitakachofuata ni lazima ujute. Hiyo ndio njia pekee ya kuishi na watu kwa amani. Wanasema If you want peace, parabellum. Kama unataka amani basi jiandae kwa vita.
Kwann ulijenga ukuta mpakani?????Habari za leo?
Kuna jirani yangu hapa mtaani anafuga ng'ombe. Kawajengea banda kwenye ukuta wa fensi niliojenga mimi na anajaza kifusi cha mavi ya ng'ombe kwenye ukuta huo na kupelekea harufu kali kwa upande wangu hasa kwenye madirisha ya nyumbani.
Naomba mbinu nzuri ya kumtia adabu iwe ya kisheria au ya kibabe. Maana haya maeneo yamepimwa kwa ajili ya makazi na sio ufugaji wa ng'ombe.
Tulishamwambia awe mstaarabu kwa kutokurundika mavi mengi ya ng'ombe na kuleta kero kwetu, tunaona analeta dharau, sasa nimeamua ubaya ubaya liwalo na liwe.
Asanteni.
Huko nilishaharibu mkuu siwezi onekana huko .Nipo Chuga Mkuu karibu huku hapo pana Sinia la wali na Kuku lina balaa sana...
Mimi ni mtanzania na huyo mfalme Juha simjuiHakika wewe ndiye mbongo
.[emoji28][emoji28][emoji28] umenikumbusha kitabu cha mfalme juha
Lazima nimshauri kulingana na mazingira ya nchi yetuUshauri huu ndo wa kiCCM haswaa
Pia atalipwa ujue 😂😂😂😂Huo ukuta utengenezee namna siku udodonke usiku uuwe hao ng'ombe wake
Alafu asubuhi anza kumlaumu kwanini anafugia ng'ombe kwenye ukuta wako alafu mwambie ona sasa mifugo yako imedondosha ukuta na imekufa .
Mwisho mpe pole kwa yaliyotokea atakuwa kajifunza
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Safi sanaMi nina jirani kama wako yeye kaamua kufuga nguruwe bado namfikiria kumtia hasara, kuna mwingine alikuwa anakuja kuchungia mbuzi wake kwenye kiwanja changu nikamwambia hakusikia, nlinunua debe la mahindi nikaliweka maeneo mbuzi wakaja kula mahindi yote, kiwanja changu kipp mtoni wakaenda kunywa maji, jioni akaja kuwachukua wameshiba balaa, usiku alikuta maiti ya mbuzi zaidi ya 10
Usisahau na adhabu ya kufagia majani piaJirani yetu muembe wake nusu umeegemea upande wetu so msimu wa maembe ni full kujisevia tu
Nipo huku kitambo , mimi ndiye nilikuwa mpambe wa mzee mmoja mtafute anaitwa wao ni wao kipindi anajifaragua kuutaka ubunge wa jimbo fulani kabla hajawa adui yangu .Dah!! CCM wakuchukue unaziweza fitna kaka mkubwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo si shidaUsisahau na adhabu ya kufagia majani pia
Mwaka mzima unafagiaHiyo si shida
Maembe yake matamu adi unasahau kama hua unayafagilia mwaka mzima 😂Mwaka mzima unafagia
Unafaidi maembe miezi kazaa 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Duuuuh watu mpo siriazi.Mi nina jirani kama wako yeye kaamua kufuga nguruwe bado namfikiria kumtia hasara, kuna mwingine alikuwa anakuja kuchungia mbuzi wake kwenye kiwanja changu nikamwambia hakusikia, nlinunua debe la mahindi nikaliweka maeneo mbuzi wakaja kula mahindi yote, kiwanja changu kipp mtoni wakaenda kunywa maji, jioni akaja kuwachukua wameshiba balaa, usiku alikuta maiti ya mbuzi zaidi ya 10
Kweli, kwetu jirani kajenga hadi kwenye eneo letu,yaani pikipiki zikipita inakuwa shida ukuta wetu unanusurika kugongwa,Mtu yoyote anayegombania mpaka au eneo kwangu namuona hana akili kwasababu hakuna aliyewahi kuzikwa navyo hvyo.