dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
- Thread starter
-
- #181
Bora wee Ni 10 Mt mm Ni mita moja ndio tunapishana maji yote yatadondoka kwangu mm na achilia mbali ku na access ya ku over view activities zangu zinazendelea nnje na ndani na sebelenj10 metres kweli halafu sehemu yenyewe ni maabara sio nyumba ambayo wanaishi watu
Dah ni balaaBora wee Ni 10 Mt mm Ni mita moja ndio tunapishana maji yote yatadondoka kwangu mm na achilia mbali ku na access ya ku over view activities zangu zinazendelea nnje na ndani na sebelenj
Muone daktari haraka sana kwan wewe umejuaje kama na wewe hauna AccessS ndio hapo Ana Access ya kuona kila ninchofanya
KwambaKama ni kweli , ndo maana upo hapo ulipo
Mbona kaongea vizuri anawaza amfuate amuombe amuuzie na eneo lake.We jamaa kwa hiyo roho yako ya umasikini najua lazima utamloga jamaa umuue au umtie ulemavu ashindwe kujenga.
Oscar umenielewa vzr sna ,kaka angu mm Ana ghorofa kubwa tu SAS Kuna wakt naishi kwake nilkuwa napenda sna kukah kwenye balcony Basi Kuna jirani yake ana nyumba kubwa tu nzuri ila Ni hz kawaida aloo nilikuwa na over view shughli zake zote alizokuwa anazifanya Mar nyingi sna nilkuwa naona watot wake Wakioga ,mke wake nimemchungulia sna tu na na ndipo na mm nimejuwa kuishi na mtu mwemye ghorofa Ni hatari sna kwa usalma wa family yako ,ili fika hatu ikawa siendi Tena kwenye balcony mnk inakuwa Kama namchora Mara katoka chooni maara Ana kunnywa chaiHamumuelewi huyu jamaanawaambia kabisa,ila kuna uhuru atakosakwakendio hofu yake.kama hujajenga ni rahisi kulalamika na kusema anakuonea wivu.Jengeni muone adha ya kukaa na jiran na ghorofa.
Ushauri wangu wakati unajenga nyumba yako ule upande wako privace ufanye uwe nyuma ya nyumba yaan the othe side ya jirani yako huyo wa ghorofa
Watu Ni wajjnga sna wannanishambulia tuMbona kaongea vizuri anawaza amfuate amuombe amuuzie na eneo lake.
Mnamshambulia kwa kukurupuka.
umevamiwa na umekaa kimya...Mm siyo mkulima babu na hkuna sehemu mm nimetaja kuwa mm Ni mkulima hapo aliko otesha makabeji Ni watu walivamia nisio wajua ndio wakaotesha kabechi na maharage na siyo tatizo
Mkulima Ni rais kudeal naye kuliko mfanyakaz na mfanya biashraumevamiwa na umekaa kimya...
daktari wa hovyo..
Sasa witchracft imetoka wapi baba j ,mm Nina wasiwasi tu na kwanjinsi jamaaa alivyo liseti ghorofa lake Wala Sina wivu Wala chuki Ni wasiwasi wa family yangu mm kutokana uzoefu wangu mm niliopta nilikukuwa naishi kwa ndugu yangu mwenye ghorofaAdvanced Diploma in witchcraft technology [emoji4]
Kwani kuna tatizo gani?Ni hatari miti utapandaa nyuma ya nyumba Kweli
Nyumba zimetenganishwa na ukuta umesema, iweje zipishane kwa mita moja?Bora wee Ni 10 Mt mm Ni mita moja ndio tunapishana maji yote yatadondoka kwangu mm na achilia mbali ku na access ya ku over view activities zangu zinazendelea nnje na ndani na sebelenj
Na unadhani vitu hivyo vina umuhimu gani kwake hata avijali??Siyo kuniibia atakuwa na access ya kujuwa mengi kuhusu mm na vitu vinavyo fanyika hapo nnje kwangu
Huyo jirani wa kaka yako uliyesema alikuwa na nyumba nzuri, mkewe na watoto wake walikuwa wanaogea nje?Oscar umenielewa vzr sna ,kaka angu mm Ana ghorofa kubwa tu SAS Kuna wakt naishi kwake nilkuwa napenda sna kukah kwenye balcony Basi Kuna jirani yake ana nyumba kubwa tu nzuri ila Ni hz kawaida aloo nilikuwa na over view shughli zake zote alizokuwa anazifanya Mar nyingi sna nilkuwa naona watot wake Wakioga ,mke wake nimemchungulia sna tu na na ndipo na mm nimejuwa kuishi na mtu mwemye ghorofa Ni hatari sna kwa usalma wa family yako ,ili fika hatu ikawa siendi Tena kwenye balcony mnk inakuwa Kama namchora Mara katoka chooni maara Ana kunnywa chai
Oscar umenielewa vzr sna ,kaka angu mm Ana ghorofa kubwa tu SAS Kuna wakt naishi kwake nilkuwa napenda sna kukah kwenye balcony Basi Kuna jirani yake ana nyumba kubwa tu nzuri ila Ni hz kawaida aloo nilikuwa na over view shughli zake zote alizokuwa anazifanya Mar nyingi sna nilkuwa naona watot wake Wakioga ,mke wake nimemchungulia sna tu na na ndipo na mm nimejuwa kuishi na mtu mwemye ghorofa Ni hatari sna kwa usalma wa family yako ,ili fika hatu ikawa siendi Tena kwenye balcony mnk inakuwa Kama namchora Mara katoka chooni maara Ana kunnywa chai
Sema usiuze,una eneo zuri,Rooms ziwe upande mwingine huku unakopakana nae kuwe na vitu ambavyo havihitaji sana privace.Mimi jirani yangu ana ghorofa ila nilimuwahi nikanunua plot ya katikati yetu so nikongeza umbali kwake na main house.Watu Ni wajjnga sna wannanishambulia tu
Thamani ya ile plot kwa SAS inakwenda milion 34 ila mm nataka anipe 45 nimpishe nitafuta kwingine kusipo na ghorofa