Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

Hamumuelewi huyu jamaanawaambia kabisa,ila kuna uhuru atakosakwakendio hofu yake.kama hujajenga ni rahisi kulalamika na kusema anakuonea wivu.Jengeni muone adha ya kukaa na jiran na ghorofa.

Ushauri wangu wakati unajenga nyumba yako ule upande wako privace ufanye uwe nyuma ya nyumba yaan the othe side ya jirani yako huyo wa ghorofa
 
Oscar umenielewa vzr sna ,kaka angu mm Ana ghorofa kubwa tu SAS Kuna wakt naishi kwake nilkuwa napenda sna kukah kwenye balcony Basi Kuna jirani yake ana nyumba kubwa tu nzuri ila Ni hz kawaida aloo nilikuwa na over view shughli zake zote alizokuwa anazifanya Mar nyingi sna nilkuwa naona watot wake Wakioga ,mke wake nimemchungulia sna tu na na ndipo na mm nimejuwa kuishi na mtu mwemye ghorofa Ni hatari sna kwa usalma wa family yako ,ili fika hatu ikawa siendi Tena kwenye balcony mnk inakuwa Kama namchora Mara katoka chooni maara Ana kunnywa chai
 
Mbona kaongea vizuri anawaza amfuate amuombe amuuzie na eneo lake.
Mnamshambulia kwa kukurupuka.
Watu Ni wajjnga sna wannanishambulia tu

Thamani ya ile plot kwa SAS inakwenda milion 34 ila mm nataka anipe 45 nimpishe nitafuta kwingine kusipo na ghorofa
 
Advanced Diploma in witchcraft technology [emoji4]
Sasa witchracft imetoka wapi baba j ,mm Nina wasiwasi tu na kwanjinsi jamaaa alivyo liseti ghorofa lake Wala Sina wivu Wala chuki Ni wasiwasi wa family yangu mm kutokana uzoefu wangu mm niliopta nilikukuwa naishi kwa ndugu yangu mwenye ghorofa

Lkn pia ujenzi wa jamaa haujafta mpango mji amejenga ilimradi tu Ana eneo kubwa, Kwanza maji ya mvua karibu asilimi 60 itadondokeaa kwangu achilia mbali ku over view activities zangu za nyumbni kwangu
 
Bora wee Ni 10 Mt mm Ni mita moja ndio tunapishana maji yote yatadondoka kwangu mm na achilia mbali ku na access ya ku over view activities zangu zinazendelea nnje na ndani na sebelenj
Nyumba zimetenganishwa na ukuta umesema, iweje zipishane kwa mita moja?
Wewe ni muongo tu.
 
Oscar umenielewa vzr sna ,kaka angu mm Ana ghorofa kubwa tu SAS Kuna wakt naishi kwake nilkuwa napenda sna kukah kwenye balcony Basi Kuna jirani yake ana nyumba kubwa tu nzuri ila Ni hz kawaida aloo nilikuwa na over view shughli zake zote alizokuwa anazifanya Mar nyingi sna nilkuwa naona watot wake Wakioga ,mke wake nimemchungulia sna tu na na ndipo na mm nimejuwa kuishi na mtu mwemye ghorofa Ni hatari sna kwa usalma wa family yako ,ili fika hatu ikawa siendi Tena kwenye balcony mnk inakuwa Kama namchora Mara katoka chooni maara Ana kunnywa chai
Huyo jirani wa kaka yako uliyesema alikuwa na nyumba nzuri, mkewe na watoto wake walikuwa wanaogea nje?
Au choo cha nje kisichoezekwa?

Kama ni choo cha ndani, madirisha ya chooni ni madogo sana.... huwezi kuchungulia na kuona ndani labda upanie sana.

Narudia kusema, WEWE ni MUONGO mmoja.... upo hapa kujichekesha tu.
 
Oscar umenielewa vzr sna ,kaka angu mm Ana ghorofa kubwa tu SAS Kuna wakt naishi kwake nilkuwa napenda sna kukah kwenye balcony Basi Kuna jirani yake ana nyumba kubwa tu nzuri ila Ni hz kawaida aloo nilikuwa na over view shughli zake zote alizokuwa anazifanya Mar nyingi sna nilkuwa naona watot wake Wakioga ,mke wake nimemchungulia sna tu na na ndipo na mm nimejuwa kuishi na mtu mwemye ghorofa Ni hatari sna kwa usalma wa family yako ,ili fika hatu ikawa siendi Tena kwenye balcony mnk inakuwa Kama namchora Mara katoka chooni maara Ana kunnywa chai
Watu Ni wajjnga sna wannanishambulia tu

Thamani ya ile plot kwa SAS inakwenda milion 34 ila mm nataka anipe 45 nimpishe nitafuta kwingine kusipo na ghorofa
Sema usiuze,una eneo zuri,Rooms ziwe upande mwingine huku unakopakana nae kuwe na vitu ambavyo havihitaji sana privace.Mimi jirani yangu ana ghorofa ila nilimuwahi nikanunua plot ya katikati yetu so nikongeza umbali kwake na main house.
 
Back
Top Bottom