Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa umenifanya kucheka saaana
 
Dunia na visanga vyake vya ulimwengu wa giza!!
Nami nina story ya mauzauzaaaaa kusimulia sasa ndio siweziii[emoji23][emoji23][emoji23]! Dunia ya giza ina mambooo nyieeee[emoji119]!!
Hata Mimi mkuu ninayo ila kusimulia sijui naanzia wapi

Maana moja ya vitu nilivyoshuhudia ni kumuona mtu anapita mlangoni Huku mlango ukiwa umefungwa, kuiona sura yangu kwa mtu mwingine, na aliyekuwa anafanya hayo yote ni mpangaji mwenzangu na ni binti tuu wa Makamo aliyefundishwa uchawi na mama yake mzazi

Mpaka sasa Kuna vitu bado vinanitesa walivyonitegeshea na vikanivagaa,

Pia mauzauza nyumba ambayo nilikuwa nafanya kazi maeneo ya masaki napo nilishuhudia mambo mengi sana yakutisha ingawa ktk ndoto ila kulikuwa na uhalisia, yaani humo ktk huo mjengo misukule kama yote.

Jamani hii Dunia Imeficha Siri za watu wengi sana, Kuna watu hawataki kujulikana kuwa wao ni waovu ndiyo maana wamevaa vazi la dini.
 
Nimesoma Episode moko mkuu na Iko powa
 
Watu wakiacha kurushia maneno wanaoadithia story zitakua nyingi...
Jamani kuadithia ni shuhuli msiwasimange watu.
Mimi nina story kuna mtu wetu wa karibu alikua mnywaji pombe ya kutoshayaani yule hajiwezi.sasa kapelekwa kwa mtaalamu kachinjwa msukule.
Kwa sasa ana 3 weeks tumeambiwa tusubiri miez mi3 kama atarudia.
Kama asiporudia nitaadithia..
 
aisee!
 
Haya mambo acha kabisa...
Hivi unajua unaweza ukawa una keki mahamakani yaani unakosa kabisa labda umezulumu au umeiba..
Alafu wajuba wanaipangua...yaani unashangaa tu mlalamikaji siku ya kesi kutajwa anasema sina nia ya kuendelea na kei...yaani kesi inaisha...mtu anatengenezwa siku ya kutoa ushahid atokei...au anakufa tu yaani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…