princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
sema humu skuizi sijui kupoje..Wanakosoa ila hawaachi kusoma...na hawaachi kutazama kama mwendelezo umetumwa au lah.
@princess ariana acha niwafanyie wanaopenda, najua wako wengi. Si vizuri nikawakatili kwasababu ya watu wachache ambao hawawezi kukosekana popote pale.sema humu skuizi sijui kupoje..
ujue zamani hatukuaga na complain za ajabu ajabu
mbasubiri mtu anakuja kupost mnasoma maisha yanaenda.. umeweka story kibao ila hii utapata changamoto za huo ujinga
yani wanataka mtu usifanye mambo mengine
Duuuh [emoji848]Tukutane asubuhi, wapendwa. Usiku mwema.
Kheee[emoji848][emoji848]Sawa bhn mkuu ila mkuu hi story ungefanya summary tu kwa kifupi Sana
Story za umughaaka Ni riwaya kbsa usiige
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mmblock bana,ujuaji mwingi yeye hata hadithi ya sungura na fisi hawajawahi kusimuliaSawa.
Kuna watu mnakera,umeitwa usome Sasa!?ushawahi kusoma Riwaya zake labda mpaka uanze kumfananisha!?Sawa bhn mkuu ila mkuu hi story ungefanya summary tu kwa kifupi Sana
Story za umughaaka Ni riwaya kbsa usiige
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Naomba hyo link ya huo uzi mwingine na mm niusomeNaomba twende na kule tivu
Nakuheshimu sana, tafadhali jiheshimuTuliza tako
Anatom.ba saa ngapi? This is a basic needkuna watu wanafikiri wao wanavolala saa4 basi wote ndo hivyo, mtu kama Steve ninavoelewa anasubiri Mke na mtoto wakishalala yeye ndo anaweka zile movie zetu sasa za blood red sky mpaka usiku mwingi, kwahiyo hizo pilika zinapoanza most of time anakuwa macho wakati huo familia imelala na haina habari,
Nalo mpk awaambie????Anatom.ba saa ngapi? This is a basic need
Witness juma mpaka leo Una
Witness juma mpaka leo unatumia Techno spark two?😱😱 njoo pm nikupe iPhone 11 macho mawili,siitumii sanaKheee[emoji848][emoji848]
Wapi katamka kumuiga umughaka?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nadhani huko mbele atakuja kueleza kuwa mkewe ni mlemavu, hajiwezi na amelala tu kitandani au amefungiwa kabatini kama Maya. Maana kwa simulizi hii jamaa anaonekana anaishi kama Bachelor.Adi purukushani zote za big ndoo haingii tu kuhusika?
Achana na hilo ulipo safiri mkeo hakuwa anakupa mikasa ya hapo home?
Achana na hilo sikuona ushiriki wa mkeo kwenye ajari ya jirani yako
Apo umetupiga boss
Huwa tunakopi na kwenda kuhadidhia kule facebook na kujifanya sisi ndio watunzi na tunapata ujiko sana. Sasa kule wanatupiga maswali mengi tunashindwa kujibu tunaonekana waongo.[emoji1][emoji1][emoji1] Ile ya umughaka ilinipa ujiko sana kule na views na likes za kutosha [emoji23][emoji23]Nashangaa watu mnapenda story alf kutwa kukosoa kama hupend story usisome tengeneza yako ilio kamili story ikiisha ndo toa comment watu mnasoma story kutafta weakness while hamjawah andika hata story moja