Tall Msafi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 230
- 231
Mbowe na Mnyika wana hofu ya kushindwa na Samia Wanajua Samia lazima ashinde wezi na mafisadi wote.Watanzania hatutaki siasa chafu wajifunze siasa safi za Samia hao Wapinzani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe na Mnyika wana hofu ya kushindwa na Samia Wanajua Samia lazima ashinde wezi na mafisadi wote.Watanzania hatutaki siasa chafu wajifunze siasa safi za Samia hao Wapinzani.
Rais Samia na JPM walitoa elimu bure iliyomshinda mkoloni.Mbowe na Mnyika wana hofu ya kushindwa na Samia Wanajua Samia lazima ashinde wezi na mafisadi wote.
Samia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda mkoloni. Huyu mama ni ngangari.Rais Samia na JPM walitoa elimu bure iliyomshinda mkoloni.
Usimfananishe Rais Samia na vitu vya hovyo kama vile Lissu kibaraka wa wazungu.Samia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda mkoloni. Huyu mama ni ngangari.
MhhhUsimfananishe Rais Samia na vitu vya hovyo kama vile Lissu kibaraka wa wazungu.
Sawa mkuuSamia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda mkoloni. Huyu mama ni ngangari.