Jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika

Yule mchimbaji mdogo Laizer aliyepewa mabilion na Samia/JPM amshukuru sana Rais kwa kuwa na roho nzuri.
Wewe na familia yako kama kura zenu mlimpa msaliti wa Nchi haitaathiri kitu kwa sababu Rais Samia ni kipenzi cha Watanzania na tulimpigia kura kwa 98% Vijana wachache wa CHADEMA mwaka jana walijuta sana.
 
Rais Samia ni Mzalendo wa kweli na mpaka sasa hana mpinzani.
 
Mkuu ni vile tu Rais Samia alitoa heshima kupita kila jimbo kusalimia Wananchi. Ila hata angekaa ofisini ushindi wa kishindo ulikuwa lazima.
Lissu alikuwa analipwa mabilion kuwatetea Mabeberu yatuibie raslimali zetu Rais Samia na JPM wakatutetea dhidi ya Mabeberu.
 
Rais Samia amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka jana 2020 kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nichague tena samia 2025.
 
Hizi maktaba alizojenga Rais Samia na JPM viunga vya udsm si mchezo nimejaribu kufanya Uchaguzi wa muda mfupi sioni maktaba bora kama hizi kwa bara la Africa.
 
Miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati miaka mitano ijayo, Rais Samia atatufanya tuwe kama Qatar.
 
Vyama vya siasa vivunje sheria vyenyewe alafu wakulaumiwa awe Rais Samia? Hapana aisee. Samia anaonewa sana na upinzani sababu amezidi kuwadekeza.
 
Back
Top Bottom