Binti Abdullah
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 653
- 538
Wewe na familia yako kama kura zenu mlimpa msaliti wa Nchi haitaathiri kitu kwa sababu Rais Samia ni kipenzi cha Watanzania na tulimpigia kura kwa 98% Vijana wachache wa CHADEMA mwaka jana walijuta sana.Yule mchimbaji mdogo Laizer aliyepewa mabilion na Samia/JPM amshukuru sana Rais kwa kuwa na roho nzuri.