Jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika

Na kwanini wachepuke wakati wanajua wana watoto.
Ndoa ni watu wawili mtu mke na mwanamke wanaoungana pamoja, mwili, nafsi na roho zao huku wakiongozwa na Mungu Roho Mtakatifu kwa kila kitu. Sasa marafiki wanatoka wapi? wakamuulize Ayubu kama marafiki ni watu wazuri? Wakamuulize I brahimu Mungu alimwambia atoke na Lutu?. Mwanamume atamwacha baba yake na mama yake ataambatana naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
 
Safi sana mkuu umenena vema
 
Umeanza vyema ila hapo mwisho umeisimanga sana BIA bila sababu za msingi.

Kwa hiyo wanywa BIA ndio wanapelekaga umbea? Yani sijaelewa kabsa na imeharibu mantiki ya uzi wako.

Why BIA sasa?
nakuunga mikono yote...BIA ina kosa gani sasa....???? why BIA??......BIA haina mke wala mume....haijawahi kuoa au kuolewa....why..why...
 
CHADEMA kumpinga Samia ni kujidhalilisha tu kwa maana amefanya kazi kubwa huyu mama yetu.
Watanzania tumeshayapata mabadiliko kupitia kwa Rais Mzalendo Samia Nyie wengine ni wachumia tumbo tu kama Lissu.
 
Hao walikuwa wanatumiwa na Mabeberu sasa Mabeberu yamewaingiza king baada ya kukubali uzalendo wa Rais Samia.
 
Back
Top Bottom