Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 536
- Thread starter
-
- #21
Vp chinaHaya mawazo ya kutoa umuhimu na uzito mkubwa kwny kuoa au kuolewa sijui kabla ya miaka 30, ni...
Mawazo ya zama za giza, mawazo ya kijinga na kipuuzi, yaliyo kwny jamii za watu wajinga.
Ni mawazo yaliyojaa ukengefu, upogo na upofu, wa jamii masikini hasa kutoka dunia ya tatu.
Ni mawazo finyu, yanayotokana na uelewa finyu wa dunia na maisha kiujumla.
Mawazo mufilisi kama haya huwezi kuyakuta kwny jamii zilizoendelea kifikra, Kama vile Ulaya, Korea na Japan.
Dogo sisi tumefika 45 tupo single......haya tupe ushauri mdogo wetuSio lazimaa uoe au kuolewa na harusi kubwa Ila usifike miaka 30 ukiwa single.
Maisha ni kama kamari kuna kupata na kukosa usiogope kuoa kwa sababu uchumi haupo sawa.
kumbuka unaweza kuoa ukiwa maskini ukatajirika na pia unaweza kuoa ukiwa tajiri ukafilisika pia.
Bro kama ukipata soulmate wako usichelewe. Anza nae maisha hata kama mtakua mnaishi kwa room moja muanzie hapo mkue pamoja.
Chinese people.Vp china
Certified Hater π€£ π€£ π€£ time is makangability.Sio lazimaa uoe au kuolewa na harusi kubwa Ila usifike miaka 30 ukiwa single.
Maisha ni kama kamari kuna kupata na kukosa usiogope kuoa kwa sababu uchumi haupo sawa.
kumbuka unaweza kuoa ukiwa maskini ukatajirika na pia unaweza kuoa ukiwa tajiri ukafilisika pia.
Bro kama ukipata soulmate wako usichelewe. Anza nae maisha hata kama mtakua mnaishi kwa room moja muanzie hapo mkue pamoja.
Hata m nashangaa maan 30 imekua nyepes kwel kuifikia[emoji23][emoji23][emoji23]30 hii hii au kuna 30 ingine
labda kuna 30 ingineHata m nashangaa maan 30 imekua nyepes kwel kuifikia
Toa tarakaNingerudishwa 5 years nyuma ili nisahihishe makosa kwenye maisha yangu basi hili la kuoa nisingejiingiza mkenge tena
Swali zuriKama ujapata huyo soul mate maana umelaza hoja upende mmoja
Duh!Ningerudishwa 5 years nyuma ili nisahihishe makosa kwenye maisha yangu basi hili la kuoa nisingejiingiza mkenge tena
Nilitaka nikuite bora umejiwahi mwenyewe jirani πππSasa itakuaje na sina mtoto wala mke na miaka hii 45, na bado naishi kwa Mama na Baba.
Swala la ndoa linakuja kwa wakati wala haina haja ya kulazimisha maisha hayana formular unaweza kuwahi vikakushinda na ukachelewa ila ukapata mwenza sahihi.Sio lazimaa uoe au kuolewa na harusi kubwa Ila usifike miaka 30 ukiwa single.
Maisha ni kama kamari kuna kupata na kukosa usiogope kuoa kwa sababu uchumi haupo sawa.
kumbuka unaweza kuoa ukiwa maskini ukatajirika na pia unaweza kuoa ukiwa tajiri ukafilisika pia.
Bro kama ukipata soulmate wako usichelewe. Anza nae maisha hata kama mtakua mnaishi kwa room moja muanzie hapo mkue pamoja.
ππππ Kaka bora umeongea ukweli kuliko huyu anataka kutuingiza mkengeNingerudishwa 5 years nyuma ili nisahihishe makosa kwenye maisha yangu basi hili la kuoa nisingejiingiza mkenge tena
Jipige kifua useme mm ni kiazi mbatata a.k.a hasara ya wazaziSasa itakuaje na sina mtoto wala mke na miaka hii 45, na bado naishi kwa Mama na Baba.
Atuulize siye yaliotushinda ili tumwelekeze kuwa mapenzi hayana muda maalumNingerudishwa 5 years nyuma ili nisahihishe makosa kwenye maisha yangu basi hili la kuoa nisingejiingiza mkenge tena
Slowly but sure cuteππππ Kaka bora umeongea ukweli kuliko huyu anataka kutuingiza mkenge
Kabisaa sio kuvamia ndoa mwisho lininyonge buree ππππSlowly but sure cute
Mie nilitaka kuchinjwa Kabisa....nilikimbilia mahakamani badala ya kituo cha police..,,,Nasema hiviii..,,,taratibu ndiyo mwendoooKabisaa sio kuvamia ndoa mwisho lininyonge buree ππππ