Jitibu U.T.I kwa mmea huu kwa matokeo yenye ufanisi zaidi

Hii ni dawa safi sana,kwetu tunauita mkingili(ikingili) ukiacha magonjwa madogomadogo mengi ambayo mmea huu huweza kutibu kwa mafanikio makubwa nilipata jingine kwa rafiki yangu muhindi,yeye kwake ameyapanda kila sehemu kuzunguka ua wake...
Ikingili ni kinyakyusa ee
 
Hii ni dawa safi sana,kwetu tunauita mkingili(ikingili) ukiacha magonjwa madogomadogo mengi ambayo mmea huu huweza kutibu kwa mafanikio makubwa nilipata jingine kwa rafiki yangu muhindi,yeye kwake ameyapanda kila sehemu kuzunguka ua wake...
Hakuna mmea unaozuia mchawi, wala mifupa ya nguruwe. Mchawi anazuiwa kwa maombi na sala.
 
Hakuna mmea unaozuia mchawi, wala mifupa ya nguruwe. Mchawi anazuiwa kwa maombi na sala.
Mkuu umeanza ujuaji wako Wa sala,wewe amimi kati sala,pia waache wengine waamini katika mimea,wewe umejuaje kuwa uko sahihi kwa njia uliyoamua kuifuata?

Ninyi watu Wa dini ambazo mnazichukulia juu juu mnapenda sana kujihesabia haki,ole wenu!
 
Kweli kabisa
 
Unaitwa MPATAKUFA/MPATA KUVA.

Sio UTI tu. HATA Typhoid ila Kama Ni mgonjwa wa kisukari au presha Pima Kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…