Jitibu U.T.I kwa mmea huu kwa matokeo yenye ufanisi zaidi

Jitibu U.T.I kwa mmea huu kwa matokeo yenye ufanisi zaidi

Hii ni dawa safi sana,kwetu tunauita mkingili(ikingili) ukiacha magonjwa madogomadogo mengi ambayo mmea huu huweza kutibu kwa mafanikio makubwa nilipata jingine kwa rafiki yangu muhindi,yeye kwake ameyapanda kila sehemu kuzunguka ua wake...
Ikingili ni kinyakyusa ee
 
Hii ni dawa safi sana,kwetu tunauita mkingili(ikingili) ukiacha magonjwa madogomadogo mengi ambayo mmea huu huweza kutibu kwa mafanikio makubwa nilipata jingine kwa rafiki yangu muhindi,yeye kwake ameyapanda kila sehemu kuzunguka ua wake...
Hakuna mmea unaozuia mchawi, wala mifupa ya nguruwe. Mchawi anazuiwa kwa maombi na sala.
 
Hakuna mmea unaozuia mchawi, wala mifupa ya nguruwe. Mchawi anazuiwa kwa maombi na sala.
Mkuu umeanza ujuaji wako Wa sala,wewe amimi kati sala,pia waache wengine waamini katika mimea,wewe umejuaje kuwa uko sahihi kwa njia uliyoamua kuifuata?

Ninyi watu Wa dini ambazo mnazichukulia juu juu mnapenda sana kujihesabia haki,ole wenu!
 
Wakuu habari za leo ! Poleni na mihangaiko ya hapa na pale katika kutafuta riziki.

Nimekaa na kufikiri ni jinsi gani wazee wetu walikuwa wataalamu Wa tiba asilia lakini walikuwa wagumu sana kufundisha watu wakaribu yao ,matokeo yake walikufa na maarifa yao,kwa Leo Mimi sitaki kufanana na hao wahenga...
Kweli kabisa
 
Tafadhali weka picha mkuu maa ile ya mwanzo Kama ni ua la kutambaa
Hii
IMG_20210316_083113.jpg
IMG_20210316_083102.jpg
 
Wakuu habari za leo ! Poleni na mihangaiko ya hapa na pale katika kutafuta riziki.

Nimekaa na kufikiri ni jinsi gani wazee wetu walikuwa wataalamu Wa tiba asilia lakini walikuwa wagumu sana kufundisha watu wakaribu yao ,matokeo yake walikufa na maarifa yao,kwa Leo Mimi sitaki kufanana na hao wahenga....
Unaitwa MPATAKUFA/MPATA KUVA.

Sio UTI tu. HATA Typhoid ila Kama Ni mgonjwa wa kisukari au presha Pima Kwanza
 
Back
Top Bottom