Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

Kuna ile unachukua chumvi na kueka chini ya mto kwa imani kuwa wachawi hawatokudhuru..... Nlijaribu kwa siku 3 doooh!! Kwa ndoto nlokumbana nazo kwa hzo cku ctaki tena mimi.
 
Nakubaliana na wewe ila mimi natumia uchawi kuzuia wanaodhuriwa na uchawi na natumia uchawi kuwarahisishia waliokua na magumu bila ya kumuasi mungu uchawi ni zawadi ndugu ha ha ha
Uchawi ni Haramu na ni Shirki.
 
Nikwambie kitu ndugu, hao matajiri unaowaona wote nnauhakika asilimia hakuna ambae hana mganga wa kumuendeshe mambo yake, wanasjasa masheikh wachungaji na watu maarufu kuna kamati ya kusimamia hizo mambo usione wapo wapo tu
Ni kweli kabisa
 
Haya wale kujaribu ndo mida hii mkalale..

Nipo hapa usiku huu kusubiri shuhuda mbalimbali
 
Zamani tulikuwa tunaweka mkaa kwenye mchago/mto ila unalala usingizi mzuri kabisa usio na tabu,yani hutaota ndoto za ajabu ajabu
 
Kitu kinachomata humu ni ushahidi wa kweli , atokee mtu atoe shuhuda ya kwweli ... Ndo tunaamini hivi hivi kuharibu kwa Mimi mhh naogopa maana unaweza muona Hata ndugu yako ukaua Bure .. watu njoeni mtu ushahidi wa kwleei jaman
 
Ahsante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…