WrestlerRSF254
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 1,196
- 2,012
Kwani Hospitali imeafanyaje, USA ndio imepiga hospitali?Wapalestina wa buza na kitambaa cheupe mna habari?
Taarifa ni kuwa Jordan, Egypt, Syria, Lebanon, Iraq, Saudi Arabia and Kuwait wamekataa kuwapokea wakimbizi wa palestine.
Kumbukeni nchi hizi ni jamii moja huku wakishare dini moja na itikadi moja. Sasa leo wamewakimbia kama hawawajui.
Issue ni kuwa nchi hizi zinaogopa jini waliloliunda wenyewe, haha, wanawaelea muziki wake ndio maana hawataki waingilie.
Hawataki kufanya kosa kama kipindi Lebanon ilivyofanya kosa kuchukua wakimbizi kutoka Palestine alafu wakaanzisha mavuragano nchini mwao.
Kwa hiyo nasisi tukiwakaribisha , watatutoa kabisa kitandaniJordan inawaogopa wapalestina kwasababu wana historia nao mbaya. Walishawahi kuwakaribisha, na hadi sasa kuna wakimbizi wengi wa Palestina nchini Jordan lakini wakapanga mpango kupindua serikali ya Mfalme wa Jordan na walishawahi assassinate Waziri Mkuu wa Jordan. Hao jamaa ukiwakaribisha jiandae kupigana nao vita muda ujao. ndivyo walivyofanya pia Lebanon.
Nilisikia Misri imekataa wasivuke boda, tena wamehamishia vikosi vya jeshi mpakani mwa Gaza na waoHv ni wamekataa au hakuna room ya watu wa gaza kutoka nje ya gaza?
Inaelekea huko but 2 million is over the red line....Kwani sasa hivi wanacho kifanya hakina mlingano??
Nilisikia Misri imekataa wasivuke boda, tena wamehamishia vikosi vya jeshi mpakani mwa Gaza na wao
Kwa taarifa yako Israel ndio Marekani na Marekani ndio IsraelIt's hard kuuwa watu million 2 na dunia ikuangalie tu. Hata hiyo US itakata misaada na Israel inaweza fukuzwa UN na kuwekewa vikwazo.
Wanaogopa magaidi wa Hamas kuingia MisriNilisikia Misri imekataa wasivuke boda, tena wamehamishia vikosi vya jeshi mpakani mwa Gaza na wao
Kwahiyo kinawauma nini wakati kiramani ya Dunia Gaza ni IsraelSio kweli, hiyo Jordan yenyewe 60% ya raia wake ni wapalestina!!
Walichosema ni kwamba wakiondoka hapo Israel inaweza occupy Gaza na kufanya sehemu ya Israel.
Wapalestina wa buza na kitambaa cheupe mna habari?
Taarifa ni kuwa Jordan, Egypt, Syria, Lebanon, Iraq, Saudi Arabia and Kuwait wamekataa kuwapokea wakimbizi wa palestine.
Kumbukeni nchi hizi ni jamii moja huku wakishare dini moja na itikadi moja. Sasa leo wamewakimbia kama hawawajui.
Issue ni kuwa nchi hizi zinaogopa jini waliloliunda wenyewe, haha, wanawaelea muziki wake ndio maana hawataki waingilie.
Hawataki kufanya kosa kama kipindi Lebanon ilivyofanya kosa kuchukua wakimbizi kutoka Palestine alafu wakaanzisha mavuragano nchini mwao.
Kasome Qoran utajua Land ni ya Nani..Wanaume hawahami nchi yao kijinga, hata wakihama ndio itakua hatari zaidi, wana haki na pale walipoachiwa na mababu zao, afu Al Qudsu vipi, waachiwe wainajis. Yahudi atachemsha tu anashindana na nguvu za aliyemuumba,
shida wapalestina wana historia mbaya wakikaribishwa kwa watu unampa lifti ila hadi honi atataka apige................
Hao Arabs waliingia Israel na Tawala wao aliyeitwa Omary they are not wafilisti hayo majinga tena mengi ni kutokea Misri kama ArafatPhilistine, one of a people of Aegean origin who settled on the southern coast of Palestine in the 12th century.
Document nzima hakuna iliposema palestines ni wafilisti. Hilo eneo la "Gaza" tokea kipindi cha Biblia liliiitwa PALESTINE hivyo wafilisti waliishi PALESTINE!! so kwa sasa Wafilisti walishapotea kama makabila 10 ya Israel yalivyopotea so hao wakazi wapya ndio wanaitwa PALESTINES sababu wanaishi PALESTINE na sio kwa sababu kuna kabila linaitwa hivyo kwa enzi hizo.
Zalensky alishtuka mwishoni kabisa ndio akazuia watu wake hasa wanaume wasitoke nje wabaki waipiganie nchi yao .
Hizo nchi ulizozitaja zinaonesha mapenzi ya dhati kabisa Kwa jamaa yao
MAGUFULI4LIFE.
Kwanini tatizo la Israel liwe la mwingine? Washikilie hapo. Israel iwapokee wakimbizi wote. Si inapigana na HAMAS, ama?
Hawataki Israel waichukue Gaza mzee.
Hata Rais wa Palwstina ameliongelea hilo.
Sio kweli, hiyo Jordan yenyewe 60% ya raia wake ni wapalestina!!
Walichosema ni kwamba wakiondoka hapo Israel inaweza occupy Gaza na kufanya sehemu ya Israel.
Ish sionwakimbizi ..watu mil 1.2 ni wachache Sana wakigawana, HIV unajua kuwa wakiwapokea Gaza itabak empty na Israel unaweza pachukua mazimaWapalestina wa buza na kitambaa cheupe mna habari?
Taarifa ni kuwa Jordan, Egypt, Syria, Lebanon, Iraq, Saudi Arabia and Kuwait wamekataa kuwapokea wakimbizi wa palestine.
Kumbukeni nchi hizi ni jamii moja huku wakishare dini moja na itikadi moja. Sasa leo wamewakimbia kama hawawajui.
Issue ni kuwa nchi hizi zinaogopa jini waliloliunda wenyewe, haha, wanawaelea muziki wake ndio maana hawataki waingilie.
Hawataki kufanya kosa kama kipindi Lebanon ilivyofanya kosa kuchukua wakimbizi kutoka Palestine alafu wakaanzisha mavuragano nchini mwao.
Kwahiyo bora wakae wauawe?? Yuko wapi Iran super power wa mchongo!Hapana, huo ni mtazamo wako, ni hivi kukubali Wapaletina waondoke wapelekwe ukumbizini maana yake ni kumwachia Israeli amelize na hicho kipande kidogo cha ardhi ya Wapaletina kukikalia. Sababu ya kukataa ni kushinikiza upatikane muafaka na Wapaletina wabaki nchini kwao.

Mkuu uchambuzi mzuri sana.Misri haiwezi wapokea Wapalestina wa Gaza sababu Hamas ilianzishwa na Muslin Brotherhood ambao wana msimamo mkali. Angalau ingeweza kuwapokea kama wangetoka West Bank.
Muslim Brotherhood imepigwa marufuku Misri na Saudi Arabia, ni kama kundi la kigaidi na Rais pekee kutoka kundi hilo pale Misri akipinduliwa na El-Sisi wa sasa, akafia jera kwa kesi za kusingiziwa.
Serikali ya Misri lazima iwaogope wasije lipiza kisasi. Wapalestina ndio walimuua Anwar Sadat aliposaini mkataba wa amani na Israel. Walitaka aendelee kupigana vita aumize nchi yake kisa wao, hawakuona kwamba Misri uwezekano wa kuishinda Israel haupo wao wanalazimisha ijitoe mhanga.
Kule Jordan walitaka kumuua King Hussein mara mbili. Wakamuua Waziri Mkuu wake. Wakawa wanatembea na silaha barabarani na wanazozana na jeshi. Wakapiga marufuku polisi au jeshi kufanya patrol kwenye kambi zao, wakati ziko Jordan. Wakaanza mashambulizi ya kigaidi na kuteka Wayahudi wakiwa Jordan.
Nchi ikaanza kumshinda King Hussein alipoamua kuwashambulia ikatokea Syrian Army imekuja kuivamia Jordan kuwatetea. Jordan ikapiga Syrian Army sababu haikuwa na cover ya Air Force mkuu wake alikataa kwenye mzozo wa ama waende ama wasiende, mkuu wa Air Force pale Syria alikuwa Hafez al Assad akaipindua serikali kwenye harakati za mgogoro huo. Ona sasa Wapalestina wakasababisha mapinduzi Syria.
Iraq ilitaka kupeleka jeshi kusaidia Wapalestina wapigane na Jordan. Waziri wa Ulinzi akakataa (third in command kwa serikali ile). Saddam Hussein alikuwa na wivu na anataka apande vyeo baadae afanye mapinduzi. Akamuua yule Waziri kisa Wapalestina, akawa ndiye third in command baadae akaipindua serikali. Hajawahi leta kiherehere kwao tena akawa busy kupigana na Iran. Ona hapo Wapalestina walisababisha Waziri auwawe na serikali ipinduliwe pale Iraq.
Kule Jordan wakatimuliwa wakaenda Lebanon. Wakaanzisha vita, nchi ikawa maskini mpaka leo tabu tupu. Wakati Lebanon ilikuwa nchi ya Kiarabu yenye Ufaransa flani ndani yake. Wakristo na Waislamu wanaishi vizuri sana. Leo nchi imekufa kisa Wapalestina.
Hapohapo Palestina mwaka 2007 walikuwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Fatah na Hamas. Fatah na Mahmoud Abbas ikabaki West Bank, Hamas na Haniyeh ikabaki Gaza. Hamna Mwarabu mwendawazimu atawapokea, wacha waende kwenye kisingizio cha "wabaki uko ili Israel isichukue ardhi yao".