Jiulize ni kwanini Jordan na wengine wamekataa kupokea wakimbizi wa Palestine

Jiulize ni kwanini Jordan na wengine wamekataa kupokea wakimbizi wa Palestine

Hivi hujui list ya Marais waliouawa na Wayahudi? Kafuatilie Russian Revolution au World War 1 huko ujerumani wayahudi walihujumu serikali ya kaiser Willhelm 1 ili ikidondoka wao wabakie wamehodhi uchumi. Na hiki ndio kilifanya Hitler aje kuwaua? Hata huko Urusi Lenin aliwamaliza wayahudi sababu walikua wanahujumu mapinduzi!!

So hata wayahudi historically wamekua wakihujumu serikali za nchi wenyeji, recently walihusika na kudhamini mauaji huko DRC ili wachukue madini ya Cobalt kutengenezea gadgets
hayo ni mambo ya biashara, tofautisha na ugaidi.
 
Philistine, one of a people of Aegean origin who settled on the southern coast of Palestine in the 12th century.

Document nzima hakuna iliposema palestines ni wafilisti. Hilo eneo la "Gaza" tokea kipindi cha Biblia liliiitwa PALESTINE hivyo wafilisti waliishi PALESTINE!! so kwa sasa Wafilisti walishapotea kama makabila 10 ya Israel yalivyopotea so hao wakazi wapya ndio wanaitwa PALESTINES sababu wanaishi PALESTINE na sio kwa sababu kuna kabila linaitwa hivyo kwa enzi hizo.
 
Kwahiyo kudhamini makundi ya waasi huko Katanga ni biashara sio ugaidi? Okay!!
hauna evidence ya hilo kwa vyovyote vile, no evidence no right to speak. kama wangehitaji hayo madini, wanashindwa nini kuongea vizuri na mmiliki wa TP mazembe ambaye ni myahudi (babake alikuwa myahudi kabisa na mamake mkongo) ili wayapate? unafikiri wangeshindwa kuyapata hadi wayanunue toka kwa waasi?
 
Mh. Lowasa alisema elimu, elimu, elim baadhi tukamcheka nikiwemo Mimi kumbe alimaanisha
Lowassa Alilisitiza hilo akiwa Chadema akiwaongelesha Chadema akitegemea viongozi wa ke Wa Juu Mbowe Mwenyekiti wa Chadema taifa ambaye ni form six division zero nabKatibu Mkuu wa Chadema Mnyika form four akiwahimiza wasome kuwa hawawezi ongoza wenye digrii kama yeye ,Tundu Lisu nk wenye digrii

Lakini hadi leo wamegoma kusoma kelele za elimu,elimu elimu hazijafanikiwa Chadema
 
hauna evidence ya hilo kwa vyovyote vile, no evidence no right to speak. kama wangehitaji hayo madini, wanashindwa nini kuongea vizuri na mmiliki wa TP mazembe ambaye ni myahudi (babake alikuwa myahudi kabisa na mamake mkongo) ili wayapate? unafikiri wangeshindwa kuyapata hadi wayanunue toka kwa waasi?
Sijawahi kuongea kitu bila ushahidi
Dan Gertler - the man at the centre of DR Congo corruption allegations
Huyo bwana Dan Gertler ndio lobbyist wao kuvuna madini DRC kwa kusambaza silaha wachinjane huku yeye akibeba madini kupeleka Israel.

Na hiyo ni article ya BBC moja ya jewish propaganda media na ikumbukwe USA ilimuwekea vikwazo pia!! Sasa majizi kama haya mbona husemi yakataliwe nchi nyingine? Au sababu sio mpalestina basi ana haki ya kuua na kupora?
 
Sijawahi kuongea kitu bila ushahidi
Dan Gertler - the man at the centre of DR Congo corruption allegations
Huyo bwana Dan Gertler ndio lobbyist wao kuvuna madini DRC kwa kusambaza silaha wachinjane huku yeye akibeba madini kupeleka Israel.

Na hiyo ni article ya BBC moja ya jewish propaganda media na ikumbukwe USA ilimuwekea vikwazo pia!! Sasa majizi kama haya mbona husemi yakataliwe nchi nyingine? Au sababu sio mpalestina basi ana haki ya kuua na kupora?
my friend, Isarel ana uhusiano mkubwa sana na Kagame kutokana na historia ya genocides. wala asingehangaika na individual person. hata kagame tu alitosha kuwavushia mzigo. hata hivyo, hata kama walihusiana na huyo candidate hapo juu, huwezi linganisha na magaidi wa kipalestina. kumpa mtu silaha ni sawa na vile tu anafanya Iran kwa maslahi yake binafsi. ila hatujasema iran ni gaidi.
 
huwezi linganisha na magaidi wa kipalestina
Duuh hivi unajua drc tokea vita zianze yaani 1997-2003 pekee walikufa watu million 5!! Unawezaje sema ni nafuu kuliko Palestines? Wamewahi chochea vita ikaua watu million 5?
 
Wapalestina wa buza na kitambaa cheupe mna habari? Taarifa ni kuwa Jordan, Egypt, Syria, Lebanon, Iraq, Saudi Arabia and Kuwait wamekataa kuwapokea wakimbizi wa palestine. Kumbukeni nchi hizi ni jamii moja huku wakishare dini moja na itikadi moja. Sasa leo wamewakimbia kama hawawajui. Issue ni kuwa nchi hizi zinaogopa jini waliloliunda wenyewe, haha, wanawaelea muziki wake ndio maana hawataki waingilie. Hawataki kufanya kosa kama kipindi Lebanon ilivyofanya kosa kuchukua wakimbizi kutoka Palestine alafu wakaanzisha mavuragano nchini mwao.

Sababu ndivyo watakavyo wayahudi.
 
Sababu ndivyo watakavyo wayahudi.
waarabu wanaogopa, wakiwapokea tu, gaza itaanza kujengwa mijengo mipya ya wayahudi soon, na they would never get back pale gaza tena. ukiangalia ramani halisi ya israel, imecomprise hadi Gaza, hadi westbank yote ipo ndani ya ramani yao. ndoto yao ni kuwa pale pote hapatakuwa na kugawana, panatakiwa kuwa israel. na itakuwa hivyo tu.
 
Sio kweli, hiyo Jordan yenyewe 60% ya raia wake ni wapalestina!!
Walichosema ni kwamba wakiondoka hapo Israel inaweza occupy Gaza na kufanya sehemu ya Israel.
Wakiwauwa woote Ndio hawawezi occupy Gaza??
 
Misri haiwezi wapokea Wapalestina wa Gaza sababu Hamas ilianzishwa na Muslin Brotherhood ambao wana msimamo mkali. Angalau ingeweza kuwapokea kama wangetoka West Bank.
Muslim Brotherhood imepigwa marufuku Misri na Saudi Arabia, ni kama kundi la kigaidi na Rais pekee kutoka kundi hilo pale Misri akipinduliwa na El-Sisi wa sasa, akafia jera kwa kesi za kusingiziwa.

Serikali ya Misri lazima iwaogope wasije lipiza kisasi. Wapalestina ndio walimuua Anwar Sadat aliposaini mkataba wa amani na Israel. Walitaka aendelee kupigana vita aumize nchi yake kisa wao, hawakuona kwamba Misri uwezekano wa kuishinda Israel haupo wao wanalazimisha ijitoe mhanga.

Kule Jordan walitaka kumuua King Hussein mara mbili. Wakamuua Waziri Mkuu wake. Wakawa wanatembea na silaha barabarani na wanazozana na jeshi. Wakapiga marufuku polisi au jeshi kufanya patrol kwenye kambi zao, wakati ziko Jordan. Wakaanza mashambulizi ya kigaidi na kuteka Wayahudi wakiwa Jordan.
Nchi ikaanza kumshinda King Hussein alipoamua kuwashambulia ikatokea Syrian Army imekuja kuivamia Jordan kuwatetea. Jordan ikapiga Syrian Army sababu haikuwa na cover ya Air Force mkuu wake alikataa kwenye mzozo wa ama waende ama wasiende, mkuu wa Air Force pale Syria alikuwa Hafez al Assad akaipindua serikali kwenye harakati za mgogoro huo. Ona sasa Wapalestina wakasababisha mapinduzi Syria.

Iraq ilitaka kupeleka jeshi kusaidia Wapalestina wapigane na Jordan. Waziri wa Ulinzi akakataa (third in command kwa serikali ile). Saddam Hussein alikuwa na wivu na anataka apande vyeo baadae afanye mapinduzi. Akamuua yule Waziri kisa Wapalestina, akawa ndiye third in command baadae akaipindua serikali. Hajawahi leta kiherehere kwao tena akawa busy kupigana na Iran. Ona hapo Wapalestina walisababisha Waziri auwawe na serikali ipinduliwe pale Iraq.

Kule Jordan wakatimuliwa wakaenda Lebanon. Wakaanzisha vita, nchi ikawa maskini mpaka leo tabu tupu. Wakati Lebanon ilikuwa nchi ya Kiarabu yenye Ufaransa flani ndani yake. Wakristo na Waislamu wanaishi vizuri sana. Leo nchi imekufa kisa Wapalestina.

Hapohapo Palestina mwaka 2007 walikuwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Fatah na Hamas. Fatah na Mahmoud Abbas ikabaki West Bank, Hamas na Haniyeh ikabaki Gaza. Hamna Mwarabu mwendawazimu atawapokea, wacha waende kwenye kisingizio cha "wabaki uko ili Israel isichukue ardhi yao".
Facts tupu mkuu ila Kuna vichwa vibovu humu vitakushambulia kwa bandiko hili.
 
Wapalestina wa buza na kitambaa cheupe mna habari?

Taarifa ni kuwa Jordan, Egypt, Syria, Lebanon, Iraq, Saudi Arabia and Kuwait wamekataa kuwapokea wakimbizi wa palestine.

Kumbukeni nchi hizi ni jamii moja huku wakishare dini moja na itikadi moja. Sasa leo wamewakimbia kama hawawajui.

Issue ni kuwa nchi hizi zinaogopa jini waliloliunda wenyewe, haha, wanawaelea muziki wake ndio maana hawataki waingilie.

Hawataki kufanya kosa kama kipindi Lebanon ilivyofanya kosa kuchukua wakimbizi kutoka Palestine alafu wakaanzisha mavuragano nchini mwao.
Una dhambi wewe, unataka wauliwe kama wenzao Wapalestina?
 
Mwaka gani huo? Kwa hiyo ana digrii? Kwa nini asiende chuo kingine akasome?
Alifungiwa ndani na nje, so hta akiforce akaenda ulaya bado TCU haitotambua cheti chake.

Hana cheti cha degree ila amesoma semesters 5 za degree..kwa nchi za wenzetu angepewa "Associate Degree"
 
Wakiwauwa woote Ndio hawawezi occupy Gaza??
It's hard kuuwa watu million 2 na dunia ikuangalie tu. Hata hiyo US itakata misaada na Israel inaweza fukuzwa UN na kuwekewa vikwazo.
 
It's hard kuuwa watu million 2 na dunia ikuangalie tu. Hata hiyo US itakata misaada na Israel inaweza fukuzwa UN na kuwekewa vikwazo.
Kwani sasa hivi wanacho kifanya hakina mlingano??
 
Back
Top Bottom