JK: CCM Tujiandae kisaikolojia muundo wa serikali tatu

CCM ina hofu gani kwasababu Baraza la Katiba la Ofisi ya Waziri Mkuu Mwenyewe limetaka Serikali tatu meaning Serikali ya CCM yenyewe inataka serikali 3

Hahaaa mnabebwa na mageuzi.
Mwenyekiti wa CCM taifa aliwaambia CCM wajiandae Kisaikolojia kumbe hamkumwelewa alijua ccm hawataki katiba iguswe.
Kumbuka kauli za Nape Kingunge Kinana Bulembo Werema na na wengine wengi.
 
Uwe unaota ndoto nzuri wakati mwingine,
Hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuchukua dola;
labda mpaka Kristo arudipo kwa mara ya pili.
 
safi sana,unafiki sio mzuri,hii ikipita,kesho utamuona au kumsikia nape akisema serikali tatu ni agenda yao.

....kwa unafiki mkubwa watakuja na gia ya serikali sikivu,,,nyambafu, sikivu baada ya kuangukia pua...? nape yupo wapi, rasimu ya kwanza alikuja fasta na pumba zake, leo kimyaaaaaa......!!
 
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.

Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.

Msipaniki hyo ni % ya waliotoa yao sasa unaniletea idadi mpaka ya watoto kwa nn unajitoa ufahamu leo?
Mliambiwa mkatoe maoni hamkwenda.
Hivi ukiambiwa Kikwete alipita kwa 61% unaelewa nn
 
Iwe Serikali 3 au Serikali 2 CCM itaendelea kukamata dola.
 
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.

Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.

Mimi ninapendelea serikali moja tu, si mbili wala tatu.
 
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.

Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.

Aisee, kwani wagombea urais kwenye uchaguzi mkuu 2010 wapiga kura walikua wangapi kweli? Na Tanzania ilikua na watu wangapi kweli? Na je hiyo inaondoa uhalali wa Kikwete kua rais wa Tanzania?
 
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.

Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.

U.T.I inatibika dogo wahi matibabu.
 
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.

Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.

...nani kakwambia ni 64% ya watanzania wote..? tume imesema ni 64% ya watu waliotoa maoni. ooooh my Tanganyika is back from prison after 49 good years...!!!???
 
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.

Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.

Wewe 45M umeipata wapi wakati tunajua waislamu wote hawakuhesabiwa? Hiyo sensa tunajua ilichakachuliwa.
 
Iwe Serikali 3 au Serikali 2 CCM itaendelea kukamata dola.
...basi komaeni na serikali mbili mpaka mwisho muone mnavokula cha mbavu asubuhi na mapema...
 
Ndio maana nilimaliza kwa kusema watanzania sio wale wa zama za ndio mzee.
Na sijasema wanachama wa Upinzani nimesema CCM waangalie nini Wananchi wanataka ili isiwe aibu kwao.

Okey forgive me if i took your argument out of context,I thought you were one of those Party hacks i used to know who often view things through ideological blinkers.Your argument sounds pragmatist one.Kudos to you for that!
 
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.

Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.

Punguza jazba mkuu km siasa zimekushinda ni vyema ukamsaidia mkeo kukuna nazi, otherwise utaonekana mzigo sio tu kwa taifa bali hata katika familia yako
 
Ni vizuri ikakumbukwa kuwa watanzania waliowanachama wa vyama vya siasa hawazidiasilimia 20.
Hii inajumuisha wanachama wa vyama vyote vya siasa nchini.
Hivyo hiyo 64% haimaanishi kuwa wanasuport chama flani.
Noo.
 
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.

Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.

We kilaza tu,uliishawahi kusikia kitu kinaitwa sample size.??? Kama ndiyo,je huwa sample size ina cover population yote?
 
Ila sasa,nachokiona ni kwamba suala la katiba lilikua ni ni la mwenyekiti wa ccm peke yake,na yeye ndo anayeenda nalo
 
Tatizo ni Kauli ya Viongozi wenu majukwaani ,waziwazi wamesema hawautaki Muungano wa Serikali 3.. Sasa ikiwa Kiongozi wa CCM kasema,tutakuamini vp wewe!? Viongozi wa CDM walitamka waziwazi kua wanahitaji Muungano wa Serikali 3,hivyo hata kama kuna mwana CDM aliupinga,haileti maana kwani watu tunaamini kua Kauli ya Kiongozi ndio Kauli na msimamo wa Chama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…