babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,423
- 3,297
CCM ina hofu gani kwasababu Baraza la Katiba la Ofisi ya Waziri Mkuu Mwenyewe limetaka Serikali tatu meaning Serikali ya CCM yenyewe inataka serikali 3
Hahaaa mnabebwa na mageuzi.
Mwenyekiti wa CCM taifa aliwaambia CCM wajiandae Kisaikolojia kumbe hamkumwelewa alijua ccm hawataki katiba iguswe.
Kumbuka kauli za Nape Kingunge Kinana Bulembo Werema na na wengine wengi.