Hahaha hawawezi hata punje hao ni wazalendokushawishika kujiunga na vikundi vya kigaidi kwa ukosefu wa ajira na kuleta majanga nchini?
Sasa mtaani wanaenda kufanya nini ?Hahaha hawawezi hata punje hao ni wazalendo
Halafu ujue vijana 800 ni sawa jeshi la nchi kwa baadhi ya nchi hapa dunianiHahaha hawawezi hata punje hao ni wazalendo
Boss kijeshi kugoma ni UASI hiyo haikuabariki askri anapogoma hizo ni ishara mbaya hata kwa usalama wako wewe binafsi na nnchi kwa ujumla jambo la pili wao kujiunga na iss sio rahisi kama unavyofikiria hyo organization wanaitoa wapi?Nimesoma habari moja kuwa JKT imesitisha mikataba na kuwafukuza vijana zaidi ya 800 baada ya kuandamana Ikulu wakinishinikiza kuajiriwa
Baada ya hao vijana kuja mtaani,wanajua kushika silaha na mafunzo ya awali ya kujihami,je hao vijana hawawezi kujiunga na vikundi vya kigaidi kama cha ISS huko Msumbiji?...
Halafu ujue vijana 800 ni sawa jeshi la nchi kwa baadhi ya nchi hapa duniani
Kuzalisha mali, ujasiriamali na kuwa WAZALENDOSasa mtaani wanaenda kufanya nini ?
Idadi hiyo ni ndogo isikutishe tupo imara, tutawafix before they move their musclesHalafu ujue vijana 800 ni sawa jeshi la nchi kwa baadhi ya nchi hapa duniani
Vijana 800 ni wengi,je walivyotimuliwa kuna ndinga walikuwa wanapandishwa na kupelekwa kwao,maana kuwepo mjini kimakundi wanaweza kushawishika kufanya lolote maana sasa ataona maisha hayana maana,kama kudai ajira imekuwa nongwa basi wakajiunge na ISS ,hivi unadhani mawazo hayo hawana kwa makundi hayo yaliyopo mtaani,? Unless kama kila mtu alkuwa anarudishwa kwao mmoja mmojaBoss kijeshi kugoma ni UASI hiyo haikuabariki askri anapogoma hizo ni ishara mbaya hata kwa usalama wako wewe binafsi na nnchi kwa ujumla jambo la pili wao kujiunga na iss sio rahisi kama unavyofikiria hyo organization wanaitoa wapi? Kwani vijana wangap wanarudi toka huko jkt kwa sabab hawa sio wa kwanza hicho kitendo cha mgomo ni hatri hata mimi sijakiunga mkono
Hahaha mafisadi wote wanaosumbua hii nchi waliwahi kujiunga na JKT ila hawajawahi kuwa wazalendoKuzalisha mali, ujasiriamali na kuwa WAZALENDO
Jeshini hakunaga mgomo ilo ni kosa kubwa sana,Vijana 800 ni wengi,je walivyotimuliwa kuna ndinga walikuwa wanapandishwa na kupelekwa kwao,maana kuwepo mjini kimakundi wanaweza kushawishika kufanya lolote maana sasa ataona maisha hayana maana,kama kudai ajira imekuwa nongwa basi wakajiunge na ISS ,hivi unadhani mawazo hayo hawana kwa makundi hayo yaliyopo mtaani,? Unless kama kila mtu alkuwa anarudishwa kwao mmoja mmoja
1 mpaka 800 ni wachache? Jipeni matumaini ila muda huo ni lazima tuwe makiniJeshini hakunaga mgomo ilo ni kosa kubwa sana,
halafu hao 800 ni wachache sana jombaa, vijana wa jkt mbn wapo wengi sana mtaani
"katika nchi ya kusadikika"Halafu ujue vijana 800 ni sawa jeshi la nchi kwa baadhi ya nchi hapa duniani