Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja kitu kimoja tu cha kivita ambacho huyo wa JKT amemzidi Mgambo
Akipiga Pini hizo bidhaa za China, wewe utatazizalisha na kukidhi mahitaji sokoni? Sukari tu ya Kilombero na Mtibwa imetushinda kushusha Bei, alizeti tu mafuta yake hayashikiki fikiria tenaDawa ni moja tu, piga pini bidhaa zote toka China, shusha bei ya umeme, uone kama kuna mtu atakosa ajira nchi hii
Tanzania ni Taifa Salama.
Wakufunzi ni walewale hapo kuna usemi unasema kwamba wali ni wali pilau rangi tuu[emoji3060][emoji3060]
Ulinzi wa makambi.Taja kitu kimoja tu cha kivita ambacho huyo wa JKT amemzidi Mgambo
Kwani wewe unafanya n mtaani au yule mtoto wa dada yako anafanya nn mtaani.? Kwani jkt wamefundisha intake(operation) ngapi na sio wote walipata ajira. Je wamekua magaidi? Acheni mawazo mgando kutaka tu kuonesha mna huruma na vijana hao.Sasa mtaani wanaenda kufanya nini ?
Kwani wewe unafanya n mtaani au yule mtoto wa dada yako anafanya nn mtaani.? Kwani jkt wamefundisha intake(operation) ngapi na sio wote walipata ajira. Je wamekua magaidi? Acheni mawazo mgando kutaka tu kuonesha mna huruma na vijana hao.
Hawakuwa jeshini bado walikuwa mgambo tu hao.Nimesoma habari moja kuwa JKT imesitisha mikataba na kuwafukuza vijana zaidi ya 800 baada ya kuandamana Ikulu wakinishinikiza kuajiriwa
Baada ya hao vijana kuja mtaani,wanajua kushika silaha na mafunzo ya awali ya kujihami,je hao vijana hawawezi kujiunga na vikundi vya kigaidi kama cha ISS huko Msumbiji?
Je serikali inawafuatilia hao vijana zaidi 800 mienendo yao mitaani kama sio rahisi kushawishika kujiunga na vikundi vya kigaidi kwa ukosefu wa ajira na kuleta majanga nchini?
Au unaweza ukawa mtego,wakashawishiwa kugoma wadai ajira ili watimuliwe wakajiunga na ISS huko Msumbiji
Serikali ibuni mikakati ya kuajiri vijana au kuwawezesha kupata mazingira rahisi kujiajiri ili kuepuka kushawishika kuvuka mpaka kule kusini na kujiunga na ISS
Narudia kuwatimua vijana 800 JKT ni hatari zaidi kwa usalama uliopo kusini mwa Afrika
Hawakuwa jeshini bado walikuwa mgambo tu hao.
Kwa tabia walizoonyesha ni hatari zaidi wakiajiriwa jeshini.
Huenda pindi wenzao wanafundishwa uzalendo, wao wanakoroga zege isilaleHakika hawakuiva katika mafunzo yao bora wameonyesha rangi zao mapema wangeingia kwa system ingekuja kuleta shida badae