JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

1 mpaka 800 ni wachache? Jipeni matumaini ila muda huo ni lazima tuwe makini
Ni wengi wakiwa pamoja na kukawa na organisation. Ila wakiachwa wakatapakaa mtaani bila organisation hawana impact kubwa.
 
Hawa kwakuwa tayari wana mafunzo wanaweza kuunda vikosi vya kuasi na wakasumbua sana jeshi na amani ya nchi. Wawe makini sana.
 
Bwana eeh!
Vijana tunaonewa sana, Mara hatuamininiki, hatuna nguvu za kiume, hatuna kazi, tunashinda vijiweni na wa jkt nao wametumikishwa kwny kulima na ujenzi mbalimbali mwisho wa siku kupgiswa kwata la kufa mtu kurudi mtaani

Hatuna uwezo wowote ss vijana
20210417_223010.jpg
 
“Tunasikitika kufuta mikataba ya vijana 854 wa JKT kutokana na kufanya vitendo vya uasi.”Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania - Jenerali Venance Mabeyo

#CloudsDigitalUpdates

----------

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jen. Venance Mabeyo amesema wamefuta mikataba ya Vijana 854 wa JKT ambao ni miongoni mwa walioahidiwa kupewa ajira kwa kujenga Ikulu, Chamwino na hii ni kutokana na Vijana hao kufanya uasi kwa kugoma na kuandamana kwenda Ikulu.

via @ayotv

Mytake ; Gharama kubwa zilizotumika kuwaandaa hao vijana ili kuja kulitumikia taifa zinarejeshwa vipi?
Kweli ukifa usirudi tena ufufuke.
 
Hatari na nusu
 
Ujanja ujanja![emoji124][emoji124][emoji124]Tunajua mlikuwa hamtaki kuwaajiri,visingizio bakini navyo!
Meko ndiye aliwapa ahadi hewa ambayo haitekelezeki. Ila uzuri ni kuwa wote hao ni uvccm. Maana vyombo vyote vya dola wana recruit makada wa CCM.
 
Hapo shida wengi wanakwenda jkt ili wapate ajira jkt,uhamiaji,polisi,jwtz,n.k ndo.maana unakuta MTU ana degree,diploma certificate n.k anajiunga huko kama njia ya ajira .kwahyo mfumo inabd uangaliwe upya watu wanakwenda huko kupata fursa ya ajira na sio kujifunza tena ukakamavu,uadilifu na utiii kama lengo LA jkt lilivyo .

Vijana hao kudai ajira sio wamekurupuka ndo matarajio yao yalikuwa hivyo .mfano kuna bwana mwana sheria baada ya kukaa mtaan mda hana Mishe akaamua kupita huko akitegemea ajira .

Cha muhimu jkt waangalie vijana wanaowachukua wana lengo gani nao lasivyo tutatengeneza vijana wenye elimu ya vyuo ,elimu ya jeshi na hivyo kuwa na uwezo wa kuhoji na kufanya chochote.

Mwisho : serikali ifikilie upya mpango huu wa jkt ili tusiwape mafunzo watu watakao kuja kutusumbua baadaye maana njaa haina mjanja wanaweza hata kuwa majambazi au kujiunga na vikundi vya kigaidi tena inakuwa rahisi kuvamia hata kambi zetu sababu chocho wanazijua.

UZALENDO MUHIMU :TUIPENDE NCHI YETU
 
Mytake ; Gharama kubwa zilizotumika kuwaandaa hao vijana ili kuja kulitumikia taifa zinarejeshwa vipi?
Jeshini hawaangalii Hilo,Kama Kuna kirusi kinaondoka tu
Halafu gharama hakuna sana sana hao vijana ndio wamekula hasara kwa kufanya kazi ya kanisa
 
Mwanangu mmoja naona kafungua kampuni ya ulinzi, anafunga camera sijui security
 
Back
Top Bottom