Ningekuwa job ndugai ningechukua tena form ya uspika wakiniuliza niwaambie nimetafakari nikaona sina kosa
 
Maisha ya siasa hayatofautiani na maisha yetu huku mitaani.....

Ukipata nafasi ya juu kutumika kisiasa ujue pia iko siku itaondoka/itakuondoka na BUSARA ni kuendeleza malengo kuntu ya chama na nchi kwa kuwasaidia wengine......

#Nchi Kwanza
#Siempre JMT
#Siempre CCM🙏
 
NDUGAI kakoseewa sna na adabu uwezi nichamba vile alfu utake tupige picha public kbsa aisee hata mm ningenuna tu cwez kenua meno kwa. Mtu alikwisha niudhi na kunidhalilisha
Anapewa ubalozi wa nchi nzuri tu
 
Ndo kapeleka majina ya sukuma gang?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anajiuzulu ubunge

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nachokiona hapo ni kuwa ;

Ndugai anaonekana kununa kwakua ameface direction ya jua hivyo anajikaza jua linapompiga ( angalia kivuli cha Rais kinaonekana nyuma yake, hivyo jua lilikua linawapiga straight machoni).

Rais hayupo settled ( ameshika mikono) mara nyingi mtu anayefikicha mikono . anakua na mambo mengi yanamsumbua kichwani.

Binafsi naimani kuwa mazungumzo yalikwenda vyema kwenye issue za msingi.
 
We dont give a fkuc....

Wapambane kivyaoo
 
Kwa wale waliowahi kuwa karibu na Mama Samia mtakubaliana na mimi, huyu Mama ni Mrembo kwelikweli.

Hapo hajapiga make up ila anaonekana kama binti wa miaka 28, niwaase mabinti waache kutumika kingono maana zinawachosha na kuwafanya wapoteze nuru.
Isee.....! Kila mtu ana macho yake 😳😳😳
Huyo bibi anaonekana kama binti wa miaka 28?!
Wito wako kwa mabinti uko sahihi, lakini hayo mengine.....dah 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…