Ila nikiangalia body language Yao mmmmh,sojaisoma kabisa isije ikawa hela za India zile.
 
Labda kaenda kumuambia ile barua hakuandika yeye
 
Alafu mbatia anataka kwenda mahakamani kupinga ndugai kujiuzulu.
Wakati mwenyewe Hata habari hanaaa
 
Kumekuwa na sintofahamu ya aliko Spika wa bunge JMT Job Yustino Ndugai.

Kujiuzulu kwa Ndugai: Hongereni CHADEMA na NCCR japo haikutosha

Kuna utata unaoambatana na uhalali kisheria katika kujiuzulu huku:

1. Taarifa kwa wabunge kuhusu kusudio la Spika kujiuzulu imeshatolewa?
2. Vipi barua kwenda kwa katibu wa bunge iliwasilishwa?
3. Vipi hoja ya NCCR mageuzi mahakamani kupinga utaratibu huu batili uliotumika Ndugai kujiuzulu?
4. Vipi Naibu Spika kuwa kwenye mchakato wa kugombea u Spika hali akiwa bado Naibu Spika bungeni?

Pamoja na kuwa picha hizi zimeonekana leo kuwa hapo ni Dodoma:





Leo Mama si alikuwa Zanzibar kwenye sherehe za yale Mapinduzi yetu matakatifu?

Nani kamwona Job Yustino Ndugai hadharani?

Dunia hii imejaa mengi ya kushangaza mengine yakiitwa ya Mussa.
 
Why CDM imejaa watu waliodata sana na maisha. Whyyyyy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…