TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Trusted lieutenant wa Jiwe amekwenda

Alishiriki kwenye kumvua ubunge Lissu, ila akaipata karma hapahapa duniani kwa kupigwa chini Uspika.

Tutamkumbuka kwa kauli yake ya “Kwa hii mikopo kuna siku nchi itapigwa mnada”

Mungu ndio anahukumu sio sisi binadamu, Apumzike kwa amani!!
 
Maana isije ikawa.........! Anakumbukwa sana huyu mwamba kwa kuwa mtu wa kwanza kabisa kuwatahadharisha Watanganyika juu ya nchi kupigwa mnada! Na baada yapo kilichofuatia baada ya hapo kilikuwa ni vichambo, na pia kufanyiwa mapinduzi ya kibabe.
Ila tutaelewana tu lazima kuna jitu litaanguka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…