TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
na kupata elimu ya msingi kutoka Shule ya Msingi Mtare kuanzia mwaka 1991-1997. Alianza elimu ya Sekondari ya Kibaha mwaka 1978-1981 na kumalizia Shule ya Sekondari Old Moshi kuanzia 1982-1984.
Hiyo miaka haijakaa sawa, labda kama alisoma sekondari kwanza baadaye shule ya msingi
 
CCM wameanza kuuana hasa wasio wasiokubalianana na Samia
 
Nimesikitika sana kwasababu tulikuwa na jambo letu mjengoni 2025-2030.

Anyway,
R.I.P ME. JOB
 
Pole sana kwa familia ya Ndugai.Nadhani hapa inatukumbusha kuwa kifo ni cha kila mtu na kwamba hujui dakika wala saa utakapo ziacha hizo mali na heshima ulizonazo.

Mungu atupe kutafakari.


Hiv mafao yake ya uspeaker mstaafu bado yatakuwepo kwa familia au ndiyo yatakuwa yamepotea?
 
Pole kwa Familia ya Mzee Job Yustino Ndugai,
Polee wananchi wa Kongwa .
 
imefika hatua Siogopi kifo tena kwani najua siku moja namimi nitaiacha dunia.

Siwezi sema ni mapema maana sijui mipango ya Mungu kwa Ndugai.

Ninachoweza sema nimeshtuka sana sana sana.

Hii surprise ni ya aina yake... si Juzi tu alikua kwa kampeni za Kura za maoni lakini!!!
 
Afadhali amefariki dunia. Huyu ni mmoja ya waliochangia kuharibu demokrasia ya nchi hii.

Kifo ni ahadi kati ya Waja na Mola , tunamkia mapunziko mema. Poleni Familia kwa msiba

Kuna unafiki misiba inapotokea, sipendi kuwa sehemu ya unafiki huo
Job Ndugai amechangia sana kuharibu Nchi.
Job alitumika kuwanyanyasa Wapinzania akitoa amri waburuzwe kutoka mjengoni kwa dharau na kiburi
Job alitumika kupitisha sheria za hovyo ikiwemo ya usalama , na utekaji ni sehemu ya sheria zinazotutesa
Job alivunja Katiba ya Nchi kwa kuruhusu COVID na kuwalinda kwa kiburi na jeuri
Sheria za mafao ya viongozi ilipita mikononi mwake!
Job alimfukuza Tundu Lissu Ubunge na kutangaza jimbo lipo wazi
Job akakata mafao ya Tundu Lissu, kwa kisingizio hajui alipo n.k.

Jambo zuri tunalomkumbuka nalo ni kuhusu madeni '' nchi itapigwa mnada''.

Mzee Mwinyi (Rais Mstaafu) alisema '' maisha ni hadithi, tutende mema ili hadithi hiyo ikisumiliwa iwe nzuri''


JokaKuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…