TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mbona imekuwa gafla hivyo aisee!

Anyway ya Mungu wanadamu sie hatuyawezi.

Ajaliwe kupumzika kwa amani , na majaliwa ya kukutana na Mungu muumba wake pasina shari.
 
Dah,kweli hakuna atakayesalia chini ya jua.Apumzike kwa amani Job Ndugai.
 
KIFO NI KIFO. kazi ya Mola haina makosa
 
Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.

Ufunuo 14:13
 
So sad,nitumie nafasi hii kuwapa pole familia yake,ndugu,jamaa na marafiki.Mwenyezi Mungu ampe pumzika la amani,sisi ni waja wake na kwake utarejea.
 
..Spika Ndugai ameniachia kumbukumbu mbaya ya jinsi alivyokuwa akinyanyasa wabunge wa upinzani.

Cc Nguruvi3
 
Mungu ni mkali Kweli Kweli!! Ila mungu zidisha tena ukali wako kuna mmoja pale juu!! Eeh mungu Ila sikupangii.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Daah wanakongwa wamepoteza mke wao mkubwa hakika kifo ni kifo tu,,,Eeeeh Mungu mwingi wa Rehema na fadhili ikikupendeza chukua na mwenyekiti wao
 
Rip Job...
 
Reactions: Tsh
Nini hasa kimesababisha kifo cha Ndugai, isijekuwa figisu za wahuni hawakutaka awe mbunge maana wajumbe walimpa kura nyingi aliongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…