TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii comment iwekwe kwenye wasifu wake
 
Zawadi pekee ambayo Mungu ametupa wanadamu ni kifo, imagine dunia ya Leo angekuwepo bado Hitler, Musolin
 
Alisoma shule ya msingi 1991 mpaka 1997 halafu sekondarikasoma miaka ya themanini da hii kali
 
Attacking Information
Defense Mechanism
 
Binadamu tupunguze kiburi.

Cc. Samiah wa Zanzibar
 
Mbona kila kitu kimeenda haraka??????????????
 
Huyu jamaa zama za magu alijiona mungu mtu haya nenda kamsalimie dikteta mwenzako.

Mungu fundi yani lisu na lisasi zote zile yupo hai ila hawa jamaa na maulinzi yote yale yamesepa magu na ndugai mwende motoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…