TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
"Utapambana na spika kweli? Naweza kukupiga marufuku kuongea humu na miaka yako yote ikaisha na hakuna pa-kwenda. Hakuna cha swali. Hakuna cha nyongeza. Hakuna kuongea chochote ndani ya Bunge. Utanifanya nini? Pambana na kitu kingine siyo Ndugai.โ€
- Job Ndugai, 13 Septemba 2017
​

Jeuri yote hii sasa hivi anaenda kuozea kaburini kmmmk​
 
Alizaliwa Januari 21, 1963 na kupata elimu ya msingi kutoka Shule ya Msingi Mtare kuanzia mwaka 1991-1997. Alianza elimu ya Sekondari ya Kibaha mwaka 1978-1981 na kumalizia Shule ya Sekondari Old Moshi kuanzia 1982-1984.
hebu rekebisha hapo kwenye elimu ya msingi: nadhani ni 1971-1977
 
Ila huyu mwamba kipindi cha Magu alikuwa zaidi ya Ibilisi
 



View: https://youtu.be/pK4Uq9CvIkY?si=q87Up7Pi0rBUgohu
Nilihisi anamuongelea mpango kumbe job
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ