WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 8,437
- 8,136
Tuliwaambia hawakutaka kutusikiliza ngoja wawamalize Watanganyika ili nchi ibaki ya Wazanzibar pekee.DODOMA: Spika Mstaafu na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dkt. Tulia Ackson imeeleza kuwa msiba umetokea Dodoma
Dkt. Tulia amesema Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na Kamati ya Mazishi pamoja na familia ya Marehemu inaratibu mipango ya mazishi na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.
We unaonaje?Ni natural death?
Amesikika akiwaambia wapigakura wake yeye ni mke wao huenda alikuwa na shida kichwaniAlikua anaumwa?
Nayeye njia yake ni hiyohiyoNani yuko nyuma ya hichi kifo cha ndugai??
Bado Kizimkazi dadeqKumeanza kuchangamka
Bora katupunguzia gharama za matibabu yake. Maana akienda India anatutia hasara kweli.Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia leo August 06,2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu Hospitalini baada ya kuugua ghafla. Ndugai amekuwa Spika wa Bunge tangu November 17, 2015 hadi Januari 06, 2022 alipojiuzulu na kuendelea kuwa Mbunge wa Kongwa nafasi ambayo ameendelea kuitetea kwa kuchukua fomu tena mwaka huu ambapo ameshinda kwenye kura za maoni. Ndugai ambaye amezaliwa January 22,1960 alishinda kura za maoni za Ubunge wa Jimbo la Kongwa kwa kupata kura 569
View attachment 3434043
Polepole:Tulia pia aachane na ubunge,SS pia.
Ni ushauri tu.
Wagogo na wakaguru na wabena wa kongwa walimuelewa.Amesikika akiwaambia wapigakura wake yeye ni mke wao huenda alikuwa na shida kichwani
DaahNayeye njia yake ni hiyohiyo