Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
We ajuza ni mjinga sn narudia, nchi siyo mali binafsi ya Samia, kwanini asigombee kwao Zanzibar? mtanzania yoyote mwenye sifa ana haki ya kugombea. Shame on youKaabisa tena.
Sasa wewe kilichozushwa hapo kipi? Rais alishasema "hii yote ni 2025" wakati Ndugai anapigwa chini, jana kada mwingine wa CCM anaeheshimika kayasema. Hivi habari huwa zinakupita? Unalala sana? Au huna simu mpaka shemeji arudi kutoka kazini?
Tena nilijinga haswa limejawa udini tupu, kwani nchi ni mali binafsi ya Samia kwamba wengine hawatakiwi kugombea? kwanini asiende kugombea kwao Zanzibar? bibi mjinga sn anamtetea Samia sababu ni mzanzibar mwenzakeHiyo mipaka ikoje?
Hilo bibi jinga tu.
Sasa wewe unajibizana na mjinga? Unakuwa ni nani? Mjanja, au siyo?wewe ajuza ni mjinga sn kwa umri wako ulitakiwa uwe na akili timamu + hekima na busara, Ndugai ana haki ya kugombea kama raia na mtanganyika Samia hana hati miliki na nchi hii na hakuna kosa mtu yoyote kugombea ndiyo maana ya democrasia, ujinga wako na udini unakutesa sn, kwani KKKT wakiahidiwa nafasi nyeti ni kosa? ila wakiahidiwa wavaa kanzu ni sawa? mpuuzi mkubwa wewe
We mjinga sn, hatujawahi kusikia unatetea mkristo yoyote we ni udini umekujaa tupuUgonjwa ukishaujuwa unakuwa hausumbuwi tena. Ni kuupa dozi kamili tu.
Umesema Rais alisema homa ya 2025, Kwamba wewe ajuza una akili kuliko sisi?Sasa wewe unajibizana na mjinga? Unaiuwa nani?
Nani aliyesema Ndugai atagombea urais?
Unaota? Au hukielewi unachokisoma?
Kwani ccm wanasemaje,kuna mtu alihoji PhD ya kada akapotea hadi leo,hizi mambo zinaanzia juu hadi chini."....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"
-Kaveli-
Ndugai na wahuni wenzake tumeshawastukia mapema. Tulikuwa tunajifanya kama hatuelewi vile.
Yanajulikana majina kma 300 , tunafahamu huko watu washapanga mpaka Rais, Makamo wake, Waziri Mkuu na cabinet nzima na mpaka makatibu wakuu. KKKT nao wameahidiwa nafasi nyeti. Waislam watatu katika watu 300.
Katika mpango wao eti Rais atawekwa Muislam boya Bashiru. Ili Waislam wanyamaze.
Tutakoma ubishi.
Yeye mwenyewe alipata ngapi? Tuanzie kwanza hapo..."....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"
-Kaveli-
Ni kweli..Wanaotakiwa ni wasomi ila sasa wawe smart hata katika kujenga hoja. Negotiations ni taaluma kabisa nchi za nje
NonsenseNdugai na wahuni wenzake tumeshawastukia mapema. Tulikuwa tunajifanya kama hatuelewi vile.
Yanajulikana majina kma 300 , tunafahamu huko watu washapanga mpaka Rais, Makamo wake, Waziri Mkuu na cabinet nzima na mpaka makatibu wakuu. KKKT nao wameahidiwa nafasi nyeti. Waislam watatu katika watu 300.
Katika mpango wao eti Rais atawekwa Muislam boya Bashiru. Ili Waislam wanyamaze.
Tutakoma ubishi.
Kwahiyo kama ndo hivyo ujue waliousaini huo mkataba, nikimaanisha Rais na waziri wake ni form four failures na degree zao au usomi wao ni wa kuungaunga pasipo shaka! Huwezi ukawa na akili timamu ukasaini mkataba kama huu wa DP WORLD"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"
-Kaveli-
Ugonjwa ukishaujuwa unakuwa hausumbuwi tena. Ni kuupa dozi kamili tu.
Mie bado mwanafunzi, tena wa chekechea.Ukishaujuwa[emoji777]
Ukishaujua [emoji736]
Hausumbuwi [emoji777]
Hausumbui [emoji736]
Shule ulienda kusomea ujinga?
Mnafiki huyo"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"
-Kaveli-
Mbona mnamzarau kiasi hiki Rais wetu?.Rais mwenyewe jinga tupu unafikiri hata hiyo brain ya kuwachambua ma brains ataitoa wapi.
Hapa shida ni ccm😅😅😅Profesa Abdulkarim Hamis Mruma profesa wa jiolojia na mjiolojia mkuu wa makinikia madini akiwa katika 'mahakama' / tribunal kimataifa kama shahidi mtaalamu wa madini katika sakata la mkataba / leseni kufutwa
22 March 2023
Winshear Gold Corp. v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/20/25)Hearing Day 3 - Video 1 - 15 February 2023
Source : ICSID