Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

Kaabisa tena.

Sasa wewe kilichozushwa hapo kipi? Rais alishasema "hii yote ni 2025" wakati Ndugai anapigwa chini, jana kada mwingine wa CCM anaeheshimika kayasema. Hivi habari huwa zinakupita? Unalala sana? Au huna simu mpaka shemeji arudi kutoka kazini?
We ajuza ni mjinga sn narudia, nchi siyo mali binafsi ya Samia, kwanini asigombee kwao Zanzibar? mtanzania yoyote mwenye sifa ana haki ya kugombea. Shame on you
 
Hiyo mipaka ikoje?

Hilo bibi jinga tu.
Tena nilijinga haswa limejawa udini tupu, kwani nchi ni mali binafsi ya Samia kwamba wengine hawatakiwi kugombea? kwanini asiende kugombea kwao Zanzibar? bibi mjinga sn anamtetea Samia sababu ni mzanzibar mwenzake
 
wewe ajuza ni mjinga sn kwa umri wako ulitakiwa uwe na akili timamu + hekima na busara, Ndugai ana haki ya kugombea kama raia na mtanganyika Samia hana hati miliki na nchi hii na hakuna kosa mtu yoyote kugombea ndiyo maana ya democrasia, ujinga wako na udini unakutesa sn, kwani KKKT wakiahidiwa nafasi nyeti ni kosa? ila wakiahidiwa wavaa kanzu ni sawa? mpuuzi mkubwa wewe
Sasa wewe unajibizana na mjinga? Unakuwa ni nani? Mjanja, au siyo?

Nani aliyesema Ndugai atagombea urais?

Unaota? Au hukielewi unachokisoma?
 
"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"

-Kaveli-
Kwani ccm wanasemaje,kuna mtu alihoji PhD ya kada akapotea hadi leo,hizi mambo zinaanzia juu hadi chini.
 
Ndugai na wahuni wenzake tumeshawastukia mapema. Tulikuwa tunajifanya kama hatuelewi vile.

Yanajulikana majina kma 300 , tunafahamu huko watu washapanga mpaka Rais, Makamo wake, Waziri Mkuu na cabinet nzima na mpaka makatibu wakuu. KKKT nao wameahidiwa nafasi nyeti. Waislam watatu katika watu 300.

Katika mpango wao eti Rais atawekwa Muislam boya Bashiru. Ili Waislam wanyamaze.

Tutakoma ubishi.

Kwamba huko jikoni mnagombania fito?

-Kaveli-
 
"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"

-Kaveli-
Yeye mwenyewe alipata ngapi? Tuanzie kwanza hapo...
Maana alianzia diploma kabla ya degree?
...ndugai ni hovyo kabisa!!
 
Ndugai na wahuni wenzake tumeshawastukia mapema. Tulikuwa tunajifanya kama hatuelewi vile.

Yanajulikana majina kma 300 , tunafahamu huko watu washapanga mpaka Rais, Makamo wake, Waziri Mkuu na cabinet nzima na mpaka makatibu wakuu. KKKT nao wameahidiwa nafasi nyeti. Waislam watatu katika watu 300.

Katika mpango wao eti Rais atawekwa Muislam boya Bashiru. Ili Waislam wanyamaze.

Tutakoma ubishi.
Nonsense
 
"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"

-Kaveli-
Kwahiyo kama ndo hivyo ujue waliousaini huo mkataba, nikimaanisha Rais na waziri wake ni form four failures na degree zao au usomi wao ni wa kuungaunga pasipo shaka! Huwezi ukawa na akili timamu ukasaini mkataba kama huu wa DP WORLD
 
Profesa Abdulkarim Hamis Mruma profesa wa jiolojia na mjiolojia mkuu wa makinikia madini akiwa katika 'mahakama' / tribunal kimataifa kama shahidi mtaalamu wa madini katika sakata la mkataba / leseni kufutwa

22 March 2023
Winshear Gold Corp. v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/20/25)Hearing Day 3 - Video 1 - 15 February 2023

Source : ICSID

Hapa shida ni ccm😅😅😅
 
Back
Top Bottom