Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
We ajuza ni mjinga sn narudia, nchi siyo mali binafsi ya Samia, kwanini asigombee kwao Zanzibar? mtanzania yoyote mwenye sifa ana haki ya kugombea. Shame on youKaabisa tena.
Sasa wewe kilichozushwa hapo kipi? Rais alishasema "hii yote ni 2025" wakati Ndugai anapigwa chini, jana kada mwingine wa CCM anaeheshimika kayasema. Hivi habari huwa zinakupita? Unalala sana? Au huna simu mpaka shemeji arudi kutoka kazini?