Joe Biden achaguliwa kuwa rais wa 46 wa Marekani

Hakuna tatiz, history ya US inaeleza hivyo ili ukizi viegezo vyakua Raisi wa dunia yani International president a nation as big as the United States must be a Freemasons member hata Raisi wa kwanza wa US alikua Freemasons
Embu tutolee ujinga wenu hapa wa ishu za freemason sijui illuminati. Ndo maana mnazidi kuwa masikini
 
Isije ikatupiga sisi tu maana choko choko zilikuwa nyingi katika awamu iliopita 😂
 
Democrats hawana mzaha kwa ishu za demokrasia. Magu ajiandae
 
Afu wanalazimisha waafrica katika uongozi tuwe na 50...50 kwenye uongozi, wao wenyewe na demokrasia yao ndio mara ya kwanza mwanamke anakuwa kwenye ngazi ya juu kabisa. Nafikiri africa tutafute mfumo wetu sio kila kitu kulazimishwa
Mfumo upi huo?! Huu wa kuficha kura kwenye mabegi?!
 
Acha tuone
 
Sisi tungeachana tu na haya mambo ya uchaguzi maanake sio hulka yetu. Mtu anajitangaza mshindi kwa mtutu wa bunduki kisha anasema bila aibu kuwa uchaguzi umeisha, uchaguzi gani wakati ni mapinduzi ya kijeshi. Very hopeless indeed.
Tanzania hatujui nini maana ya uchaguzi.Ni wizi mtupu.
 
Ameshinda kihalali. Siyo Bwana yule aliyeiba kura kihuni.
 
Democrats wamemwibia Trump, kura zinaokotwa mpaka barabarani, kwny mawarehouuse nk nk halafu zinaenda kuhesabiwa, pia zilizoharibika kajumlishiwa Biden. Halafu States zilizoleta shida ni zile ambazo zinaamuaga nani awe Rais, nyingine ziliripoti on time, wao walikuwa wanasubiria Trump aongoze za awali ili wachakachue. Hata USA kuna maCCM kibao tuu
 
U.S. ilikuwa na raisi mwenye tabia ka mwanamke menopausal, hormonal imbalance ka postpartum depression.
Zile hazikuwa tabia za raisi wa dunia.

Alinichekesha alipotoa press ya kuwa kishashinda, utadhani chizi.😀

Kura zilikuwa against Trump, huo muitikio ulikuwa wa vote him OUT.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
IMEISHA NANI RAIS?
 
"Maandamano na vurugu" nadhani sasa umepata jibu
Unajua nyie watu ndo maana mmebaki kupigia makofi hata kwa mambo ya kijinga kwa sababu HAMUELEWI!!

Sasa hapo aliyepata jibu ni mimi au wewe au unayechanganya maandamano ya kawaida na maandamano yanayoambatana na vurugu kiasi cha kuhatarisha amani?!
 
Kiuchumi Biden hatafika popote
 
Kuna wananchi wanaolalamika juu ya mwenendo wa uchaguzi wa Marekani?

Kama sio Trump na wanae pekee ambao wote wana hulka ya kibri na jeuri.

Huku Bongo kura feki zilikamatwa kibao mitaani tofauti na Marekani hata kura iliyoharibika tu hakuna.

Wanasheria/Wasaidizi wake wameshindwa kwenda mahakamani kwakuwa hawana ushahidi wa malalamiko ya boss wao sasa unaenda kufanya nini mahakamani?

Ingekuwa Trump yupo Bongolala angeshinda kwa kishindo kikuu cha 84.4%.
 
Turnout ya mwaka huu ilikuwa juu kidogo.

Na moja ya sababu ni chuki dhidi ya Trump.

Niliwahi kuandika uzi humu kuhusu akili ya Trump....huenda ndo Rais zuzu kuliko marais wote wa Marekani kuwahi kutokea.
Mkuu unaweza kunisaidia kuelewa ni upi mtazamo wa Joe katika nchi za Afrika?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…