uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Ikiwa confirmed kafa mfano mwili umeokotwa umeharibika ndo wanaweza kufanya kumfunika.ila tukio la mda mfupi ulopita mfano hilo la kujirusha huwa wanamoiga picha kisha wanachora alivyolala kwa spray nyeupe wanaachia ambulance wamchukue wao wanaendelea na mengine.
Hata aliegongwa na gari wanachora anachukuliwa wao wanaendelea na kazi eneo la tukio
All I am trying to say it takes time, na hawa Wazungu mnawaabudu kwa kila jambo kama SI unit, nimewafaham kwa personal level, ni watu wa hovyo tu kama kawaida.